Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Yanii huyoo mzee alivo tuu ni Comedy toshaa....!!
 
Majuto ni noma kama unakumbuka enzi zile awanaigiza na mzee small channel 10 walitisha sana napenda kuwashauri wasanii wadogo kufuata nyayo za huyu mzee(king majuto). watafika mbali sababu njia tayari wamechongewa na majuto
 
Sijawahi kukubali kazi zake,yet they like him.
Nakubaliana na wewe ni jina tu hajui kucheza na camera wala uhalisia matangazo ya biashara tu anachemsha na sijui sifa anatoa wapi.
 
Hivi wewe unaweza kumlinganisha king na joti? kweli king majuto hana mfano.
huwezi linganisha mlima kilimanjaro na kilimanyege wa pale oysterbay. king majuto yupo juu sana. yupo juu kama povu la bia.
Ni kweli heri angemfananisha na senga

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Sio za kwel,huyo hapo pichani. Mboto alienda kumtembelea
20214448_114100759239628_573435132526985216_n.jpg

Hizi taarifa ni kweli?
 
Mzee Majuto mchango wake ni mkubwa sana kwenye Sanaa ya Bongo
 
jamaa wala hatumii misuli na kujikakamua kuchekesha.
nlicheka sana last week alipokuwa akihojiwa na bonge wa clouds fm akiwa tanta...
jamaa alidomonate interview kiasi kwamba bonge ndio akageuzwa mwalikwa na kupigwa maswali ya ukweli mno.
big star nampenda sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom