Mzee Makamba azungumzia suala la kuupiga mwingi amtaja Bashiru

Mzee Makamba azungumzia suala la kuupiga mwingi amtaja Bashiru

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kweli kila masika na mbu wake.

Leo hii Bashiru amekuwa ni mtu wa kuumbuliwa hadaharani kiasi hiki?

Sasa ndiyo ataijua CCM kuwa ina wenyewe.

Msikilize Makamba akimuumbua Bashiru.

 
Duh...

Huko Dodoma ilikuwa full kupigana spana...

Hakika CCM kina wenyewe...
 
Njaa mbaya sana, wote hawa shida njaa tu.

yale matycoon kule Republic na Democracy yangekuwa mapumbavu yenye njaa njaa unafikiri USA ingekuwa kimbilio la kila mtu..?

Hata ukiyaona kwenye mavikao yao unagundua ni majitu fulani serious hakuna kupigapiga makofi hovyo, kuchekacheka, kushangilia hovyohovyo na mizahamizaha tu, bali ni critical thinking and discussion....huku chama kinachoongoza nchi kinajadili neno "kuupiga mwingi" for 30mins
 
Ningekuwa mimi ningetafuta kisingizio chochote ili nisihudhurie mkutano huu. Kwa vyovyote vile baada ile kauli yake, asingekosekana mtu wa kumpiga vijembe.
Upo sahihi
 
Mzee Yusuph Makamba amesema kuna watu wanaumia kusikia watu wakisema 'ameupiga mwingi'. Amesema kuupiga mwingi ni nahau yenye maana aliyefanya mengi na makubwa.

 
Back
Top Bottom