Mzee Makamba azungumzia suala la kuupiga mwingi amtaja Bashiru

Mzee Makamba azungumzia suala la kuupiga mwingi amtaja Bashiru

Ana sura ngumu huyo muone hivyo hivyo
S
Huyu alisema Tunatumia Dola kubaki madarakani
Hapo wala hajali tena ndio kwanza anacheka tu
Kuna watu wana sura ya mbao
Kagame type
 
Inasikitisha mno.

Mzee mzima unafanya mambo ya aibu kisa kulinda cheo cha mtoto wako.

Hapo mzee kaamua liwalo na liwe mradi mwanae nafasi yake iwepo.
 
Nafikiri atakuwa anajikaza tu. Huenda moyoni kuna tahayari na maumivu makubwa.
Majuto ni mjukuu naamini kumruhusu mzee Makamba kuongea ilikuwa ni mpango uliosukwa kisawa Sawa na watu walio karibu na mkuu.
 
Kuna lingine linaitwa Etwege. Kwa statements hizi za mzee Makamba saa hizi atakuwa na diarrhea.
Aisee huyo Crimea ninakutana naye sana mwanza ni mtu wa kupiga virungu kwenye mabaa
 
Inasikitisha mno.

Mzee mzima unafanya mambo ya aibu kisa kulinda cheo cha mtoto wako.

Hapo mzee kaamua liwalo na liwe mradi mwanae nafasi yake iwepo.
Ni muendelezo wa wana ccm kupigania aslahi yao binafsi.
 
Kumbe najibizana na misenge. Nikajua Crimea labda ni mjumbe wa NEC. Ngoja nimpige kwenye ignore list.
Huyo jamaa sema tu ni sheria na haki za mmhusika za jf ningeweza kutupia picha yake.
 
Back
Top Bottom