Mzee Makamba, Kama unataka January awe Rais chunga ulimi wako usimharibie

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.

Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.

Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
 
CCM hawataki Makamba, nimeangalia kura zao kwenye huo uchaguzi ni wazi kama sio bahasha kuna wapwa wasingetoboa, hembu tazama mpaka Msukuma kamlambisha mchanga presida material
Screenshot_20221208_173146_Twitter.jpg
 
Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.

Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.

Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
January Makamba awe rais?[emoji706][emoji706][emoji706]
 
CCM hawataki Makamba, nimeangalia kura zao kwenye huo uchaguzi ni wazi kama sio bahasha kuna wapwa wasingetoboa, hembu tazama mpaka Msukuma kamlambisha mchanga presida materialView attachment 2439760
Makamba aliiba mtihani wake wa kidato Cha nne hawezi kuwa Rais wa nchi hii.

Bora hata msukuma awe Rais Lakini sio mwizi wa mtihani!!
 
Cha ajabu kasoma na kupata masters degree in cnflicts resolution yaani usuluhishi wa migogoro.
 
Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.

Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.

Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.

Kaharibu nini??
 
Tanzania hakuna uchaguzi. Hivyo Makamba atakuwa rais upende usipende. Makamba the next president.
 
makambajr ni overrated.
 
Sio rahisi hivyo. Kikwete alikuwa anajua kabisa baada ya Mkapa ni yeye ila 2005 alipita kwa mbinde. CCM sio CHADEMA ambao hadi wakati wa uchaguzi mwenyekiti anaweza badili jina la mgombea na kumweka anayetaka yeye.
 
makambajr ni overrated.
Under the invisible leadership of honorable Kikwete in ccm Makamba jr will be the president of this country. If one impresses the "owner" (Kikwete) of the party no hurdles ahead. Makamba jr has fulfilled this condition
 
Hao ndio wazee wa CCM na mwanae ndio anatulaza gizani [emoji1787]
 
Cha ajabu kasoma na kupata masters degree in cnflicts resolution yaani usuluhishi wa migogoro.
Aanze na gogoro la mitihani, ningekuwa mwandishi wa habari ningemfuata na kumuuliza anadhani serikali ichukue hatua gani kuzuia wizi wa mitihani
 
Back
Top Bottom