Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
January Makamba awe rais?[emoji706][emoji706][emoji706]Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.
Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.
Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Makamba aliiba mtihani wake wa kidato Cha nne hawezi kuwa Rais wa nchi hii.CCM hawataki Makamba, nimeangalia kura zao kwenye huo uchaguzi ni wazi kama sio bahasha kuna wapwa wasingetoboa, hembu tazama mpaka Msukuma kamlambisha mchanga presida materialView attachment 2439760
Cha ajabu kasoma na kupata masters degree in cnflicts resolution yaani usuluhishi wa migogoro.Makamba aliiba mtihani wake wa kidato Cha nne hawezi kuwa Rais wa nchi hii.
Bora hata msukuma awe Rais Lakini sio mwizi wa mtihani!!
Acha Msukuma hata Richard kaseselaCCM hawataki Makamba, nimeangalia kura zao kwenye huo uchaguzi ni wazi kama sio bahasha kuna wapwa wasingetoboa, hembu tazama mpaka Msukuma kamlambisha mchanga presida materialView attachment 2439760
Inafikirisha Sana, miaka 8 ijayo sijui hali itakuwaje?Acha Msukuma hata Richard kasesela
Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.
Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.
Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Tanzania hakuna uchaguzi. Hivyo Makamba atakuwa rais upende usipende. Makamba the next president.Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.
Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.
Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
makambajr ni overrated.Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.
Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.
Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Sio rahisi hivyo. Kikwete alikuwa anajua kabisa baada ya Mkapa ni yeye ila 2005 alipita kwa mbinde. CCM sio CHADEMA ambao hadi wakati wa uchaguzi mwenyekiti anaweza badili jina la mgombea na kumweka anayetaka yeye.Tanzania hakuna uchaguzi. Hivyo Makamba atakuwa rais upende usipende. Makamba the next president.
Under the invisible leadership of honorable Kikwete in ccm Makamba jr will be the president of this country. If one impresses the "owner" (Kikwete) of the party no hurdles ahead. Makamba jr has fulfilled this conditionmakambajr ni overrated.
Aanze na gogoro la mitihani, ningekuwa mwandishi wa habari ningemfuata na kumuuliza anadhani serikali ichukue hatua gani kuzuia wizi wa mitihaniCha ajabu kasoma na kupata masters degree in cnflicts resolution yaani usuluhishi wa migogoro.
Umeona eeh, jamaa hawamuelewi, anajiona special sana.Acha Msukuma hata Richard kasesela