MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wapo kuna henche(huyu atainyorosha nchi)😂,mnyika, john mrema, pambalu,, hawa mbona wanaweza san tuKwa hali ya siasa inavyo elekea kama Chadema wasingefanya upuuzi na unafiki wa kumleta Lowasa Ukawa kwa hali ilivyo hivi sasa Chadema ingekuwa mioyoni mwa watu.
Sijui upinzani wamejipangaje ila tozo, mgao wa umeme, kodi na upandaji wa mafuta umewagusa sana watu wa chini.Ukichenji elfu 10 inayeyuka faster, hiyo laki ndio kabisa, yaani hela ngumu halafu hazikai.
Tatizo kila nikiwatizama upinzani simuoni mtu,huku kwenye tawala ndio kabisa HAMNA. So naamini nchi yetu tutasonga kwa huruma ya Mungu.
Hamna kitu, siasa 2015 kwa mtu mfuatiliaji wa siasa tokea 2005 -2015 ,utajua siasa zetu wasaka Tonge wapo wengi,wanafiki wengi wanaweza kuiuza hata nchi.Wapo kuna henche(huyu atainyorosha nchi)😂,mnyika, john mrema, pambalu,, hawa mbona wanaweza san tu
Akikusikia!!!Jamaaa hauwez urais n tamaa tu ndo ina mwongoza
Acha ujuha wakoAlishakueleza hayo?, acha upimbi. Mzee alimwaga points.