Mzee Makamba; Komredi asiyezeeka

Mzee Makamba; Komredi asiyezeeka

Na hatuachi kumsifia yule mzee ng'o!
Na boss mpya bosslady tunamkubali kama mtangulizi wake maana chuma hunoa chuma
Tunamtambua na tutandelea kumheshimu kazi kwenu nyio mnaoumia akisifiwa sababu mtakufa kwa kihoro

Hatuhitaji approval yenu kusema John Pombe Joseph Magufuli ni shujaa wa karne

Poleni kwa maumivu

Hivi kumbe Mwanadamu ambaye ni.......

1. Sadist
2. Corrupt
3. Homicide
4. Hypocrite
5. Nepotist
6. Saboteur
7. Liar

Kwa Wapumbavu huitwa ni Shujaa Wao?
 
Karne ya 18, yani karne tatu nyuma.

Wivu kwa hayati utaendelea kukuumiza
Ujue tuu aliishi, anaishi na ataendelea kuishi

Kama unaweza panda juu ukazibe
 
Back
Top Bottom