Mzee Makamba tubu dhambi ya wazuri hawafi

juma30

Senior Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
159
Reaction score
459
MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..

hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu
 
Hata ukimvuta Kwa reki aje atubu hatakubali
 
Why mnapenda Sana kukuza mambo?
Huyo Mzee siku Ile Ile alirekebisha kauli yake...why mnataka nongwa isiyo Kwisha?
Hakurekebisha yeye, Samia ndo alisema mzee amejikwaa
 
MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..

hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu
Bado tunasimama na kauli ya Makamba. Magufuli hakuwa mtu mwema ndiyo maana alikufa.

Ukiangalia mazingira yake aliyokuwa anaishi kama Rais utajuwa tu kuwa alikufa kwa kuwa ni mtu muovu kama:-
1. Rais aliye kwenye madaraka
2. Analindwa na Presidential Security Unit
3. Analindwa na askari wenye magwanda ya TPDF
4. Analindwa na magari yenye Internet jammers
5. Analindwa na helicopter angani
6. Analindwa na askari wenye laptops za ku detect vilipuzi
8. Waganga wa Gamboshi na mashehe aliopelekewa na Sheikh Alhad wa Bakwata Dar
9. Madaktari bingwa wa moyo kama Prof Mchembe na Prof Ngwale
10. Mara nyingine CDF, IGP na DG TISS nao walikuwa wanakuwapo

Kama ni mtu mwema unakufaje hapo?
 
Anasubiri yeye afe ndipo abadili kauli yake
Hapana kwa hiyo kauli yeye hawezi kufa, ni kama kwa Nape, yeye hajafa, ila bahati mbaya mzee Membe kafariki na ukiangalia kulikuwa na ugomvi na Musiba maana yake ile kauli ya Mungu kaamua ugomvi imetimia. Kauli kama hizi mara nyingi mhusika huwa wanaendelea kuona mabaya kwa kipindi na wanateseka sana kama anavyoteseka leo Nape then wanakuja kufa. Rais Dkt Samia alikosea kidogo badala ya kumtaka Mzee Makamba aje kutengua kauli alimuacha kitu ambacho yeye Rais Samia kama mwenyekiti alifanya kiti chake kipwaye.
 
Hivi kwanini vijna wa Ccm hamnaga akili?
 
MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..

hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu
Soon atafuata nae
 
Afute kauli asifute, hata asingeisema atakufa tu na akifa itakuwa kawaidaaana hata umri wake umesonga. Kila mtu atakufa tu na kila familia lazima ipate msiba. Hakuna big deal kuhusu kufa maana ndicho kitu cha uhakika ambacho kila bimadamu anafahamu kitampata...
 
Maana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.

Wangemuuliza Mzee una maana gani?

Ila kwa mwerevu ni rahisi kumuelewa.

Aliongea kwa wema tu mzee wa watu.

Akiwa na maana mtu akitenda mema hata anapokuwa amekufa lakini yale matendo yake mema yatakuwa yanaishi miongoni mwa jamii.

Ni msisitizo wa kuishi kwa kutenda mema.
 
MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..

hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu
Ngoja kwanza .
 
Anayo akili ya kufikiri mara mbili kweli?
Tuanzie hapo
 
Maana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.

Wangemuuliza Mzee una maana gani?

Ila kwa mwerevu ni rahisi kumuelewa.

Aliongea kwa wema tu mzee wa watu.

Akiwa na maana mtu akitenda mema hata anapokuwa amekufa lakini yale matendo yake mema yatakuwa yanaishi miongoni mwa jamii.

Ni msisitizo wa kuishi kwa kutenda mema.
Angemaanisha ulichokiandika SAMIA asingerekebisha kauli. Kumbuka kwamba aliwataja watu kwa majina kwamba Kikwete bado yupo, Kinana bado yupo......
 
Back
Top Bottom