Hata ukimvuta Kwa reki aje atubu hatakubaliMZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..
hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu

Hakurekebisha yeye, Samia ndo alisema mzee amejikwaaWhy mnapenda Sana kukuza mambo?
Huyo Mzee siku Ile Ile alirekebisha kauli yake...why mnataka nongwa isiyo Kwisha?
Bado tunasimama na kauli ya Makamba. Magufuli hakuwa mtu mwema ndiyo maana alikufa.MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..
hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu
Hapana kwa hiyo kauli yeye hawezi kufa, ni kama kwa Nape, yeye hajafa, ila bahati mbaya mzee Membe kafariki na ukiangalia kulikuwa na ugomvi na Musiba maana yake ile kauli ya Mungu kaamua ugomvi imetimia. Kauli kama hizi mara nyingi mhusika huwa wanaendelea kuona mabaya kwa kipindi na wanateseka sana kama anavyoteseka leo Nape then wanakuja kufa. Rais Dkt Samia alikosea kidogo badala ya kumtaka Mzee Makamba aje kutengua kauli alimuacha kitu ambacho yeye Rais Samia kama mwenyekiti alifanya kiti chake kipwaye.Anasubiri yeye afe ndipo abadili kauli yake
Hivi kwanini vijna wa Ccm hamnaga akili?Hapana kwa hiyo kauli yeye hawezi kufa, ni kama kwa Nape, yeye hajafa, ila bahati mbaya mzee Membe kafariki na ukiangalia kulikuwa na ugomvi na Musiba maana yake ile kauli ya Mungu kaamua ugomvi imetimia. Kauli kama hizi mara nyingi mhusika huwa wanaendelea kuona mabaya kwa kipindi na wanateseka sana kama anavyoteseka leo Nape then wanakuja kufa. Rais Dkt Samia alikosea kidogo badala ya kumtaka Mzee Makamba aje kutengua kauli alimuacha kitu ambacho yeye Rais Samia kama mwenyekiti alifanya kiti chake kipwaye.
Soon atafuata naeMZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..
hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu
Unaweza kutupa clip ya aliporekebisha? Hakurekebisha alirekebishwa na rais na wala hajawahi kujutia kauli yakeWhy mnapenda Sana kukuza mambo?
Huyo Mzee siku Ile Ile alirekebisha kauli yake...why mnataka nongwa isiyo Kwisha?
Why mnapenda Sana kukuza mambo?
Huyo Mzee siku Ile Ile alirekebisha kauli yake...why mnataka nongwa isiyo Kwisha?
Ngoja kwanza .MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..
hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu
Anayo akili ya kufikiri mara mbili kweli?MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..
hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu
Angemaanisha ulichokiandika SAMIA asingerekebisha kauli. Kumbuka kwamba aliwataja watu kwa majina kwamba Kikwete bado yupo, Kinana bado yupo......Maana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.
Wangemuuliza Mzee una maana gani?
Ila kwa mwerevu ni rahisi kumuelewa.
Aliongea kwa wema tu mzee wa watu.
Akiwa na maana mtu akitenda mema hata anapokuwa amekufa lakini yale matendo yake mema yatakuwa yanaishi miongoni mwa jamii.
Ni msisitizo wa kuishi kwa kutenda mema.