Mzee Makamba tubu dhambi ya wazuri hawafi

Daima wewe mkuu huwa ni mpuuzi mno.
 
Why mnapenda Sana kukuza mambo?
Huyo Mzee siku Ile Ile alirekebisha kauli yake...why mnataka nongwa isiyo Kwisha?Wen
Kauli gani alirekebisha.?! Aliyerekebisha ni Rais na Mwenyekiti wa CCM taifa na siyo huyo mzee wenu.....Kauli ya huyo mzee ilikuwa ni ya aibu na ya hovyo kabisa.....wengi walinyamaza tu na kuweka moyoni Kama kumbukumbu for the future....Ni aibu kubwa na fedheha kubwa kwa Chama kauli Kama ile kutolewa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa ngazi za juu wa Chama...
 
Siku January na Mwamvita wakipata ajali ya pamoja na kufa ndio atafuta kauli huyo mzee. Ana kiburi hata lucifer hamfikii huyo mzee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kachero wako amekufaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…