Kuna makosa mengine ukishayafanya, inakuwa ni vigumu sana kuyarekebisha tena. Lile la you can go to hell, amefanikuwa kulifuta kwa vile wengi wa watanzania wa leo hawalifahamu kabisa, lakini nadhani hili la kushindwa uchaguzi mwishoni mwa career yake litakuwa kubwa kwa vile ndilo litakalo husishwa sana na historia yake kisiasa, ingawa amewahi kushindwa uchaguzi tena mwaka 1985 baada ya you can go to hell. Nafikiri mwaka 1985 alishindwa na mtu anaitwa Kusupa ambaye hakuwa maarufu kabisa kiasi kuwa sijui aliishia wapi baada ya hapo ya uchaguzi wa mwaka 1990