Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Count down ya wazalendo wa Taifa iendelee tutambue maoni ya waliotangulia kuliona jua wana vision gani kwa wajukuu wao; tumemsikia Mzee Warioba akionyesha wazi kwamba kuna shida kwenye eneo la mikataba nchini. Kwa maneno yenye neutrality ametuelekeza kama taifa kujifunza kutoka kwenye makosa ya mikataba iliyopita. Kwa tafsiri nyingine amewauliza walioingia kwenye hii MoU KWANINI WAMESHINDWA KUJIFUNZA KWENYE MAKOSA YA WATANGULIZI WAO HADI WANARUDIA MAKOSA YALE YALE?"
Bibi wa Taifa (Tibaijuka) yeye kasema wazi kwamba tumepigwa. Mzee Mkuchika ameeleza hisia zake kwa kujificha kwenye kichaka cha kuchukia wabunge kuitwa MBUMBUMBU; alitaka Kiutu uzima kuwaeleza walioingia hii MoU kwamba haijawahi kutokea hadi walio vijijini wakadharau bunge ila kwa mkataba huu wananchi wamewatukana wabunge......tuliosoma cuba tulimwelewa vyema mzee. Means angekuwa na uwezo angeweza kusema ameshiki kwenye makosa yanayoendelea.
Mzee Kinana hajawahi kusimama na wananchi; yeye ni Comredy means anaishi kwa makosa na mazuri ya chama bali siyo uhalisia wa Dunia. Maisha yake ya siasa yanategemea zaidi maono ya aliyejuu yake kuliko msimamo binafsi.
Ningeweza kuomba kusikia Busara za JK lakini najua yeye kama Rais mstaafu kwenye hii hoja itamlazimu achangie kwa maandishi if he sees any contraventions ndani ya MoU vinginevyo publically msimamo wake ni msimamo wa utawala uliopo. The same applies to Mwinyi and Karume Junior.
Mzee Msekwa amesema ila hajaeleweka vyema anasimamia wapi; labda pia tumsikie mzee Shivaji na Mzee Joseph Butiku kama wazaliwa wa ulimwengu wa Tanganyika tunaweza kupata maono yakuweka kinga na kuonyesha vijana wa zamani njia. Natambua nao wamechangia kwa maandishi incase wameshirikishwa ila vinginevyo maoni yao ni muhimu.
Karibu mzee Mangula utupe maoni yako; tufundishe kulala na kuota ndoto za kweli. Ulisimama na JPM kwenye maono yake.....Je, maono haya ndiyo yaliyokuwa moyoni mwako baada ya JPM ? Show us ze Wei babu wa Taifa