Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mstaafu wa nafasi ya Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Philip Mangula, amezungumzia mchakato wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kukatwa jina katika kinyang’anyiro cha kuwania urais kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, akisema hatua hiyo haikuwa na shida kubwa kwa chama, licha ya kuwa kulikuwa na changamoto katika mchakato huo.
Akizungumzia suala hilo, Mangula amesema baadhi ya wanachama walivutiwa zaidi na fedha zilizokuwa zikitajwa kuhusishwa na Lowassa kuliko uwezo wake wa kuongoza.
Akizungumzia suala hilo, Mangula amesema baadhi ya wanachama walivutiwa zaidi na fedha zilizokuwa zikitajwa kuhusishwa na Lowassa kuliko uwezo wake wa kuongoza.