Mzee maskini mchungaji wa Mifugo amaliziwa hasira na KDF!

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Kuna Clip imesambaa mtandaoni ikionyesha askari wakimuua mchungaji wa Ngamia bila Sababu.

Huyo ni muajiriwa wa kuchunga Ngamia maskini mimi naanza kujiuliza Who's Alsababu Now?!
Alshababu ni Magaidi wanaoua watu bila hatia
KDF nao wamekuwa Magaidi?!!
 
Weka hiyo video tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…