imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kuna Clip imesambaa mtandaoni ikionyesha askari wakimuua mchungaji wa Ngamia bila Sababu.
Huyo ni muajiriwa wa kuchunga Ngamia maskini mimi naanza kujiuliza Who's Alsababu Now?!
Alshababu ni Magaidi wanaoua watu bila hatia
KDF nao wamekuwa Magaidi?!!
Huyo ni muajiriwa wa kuchunga Ngamia maskini mimi naanza kujiuliza Who's Alsababu Now?!
Alshababu ni Magaidi wanaoua watu bila hatia
KDF nao wamekuwa Magaidi?!!