Mzee Mbatia acha kueneza chuki

Stupid minds!! Ugaidi wa Mbowe ulianza lini? Unafahamu gaidi anafananaje?
Usingetukana katika kubadilshana mawazo.

Eti ugaidi unafananaje!

Embu tueleze sasa wewe unayeujua ugaidi jinsi unavyofanana, enhee unafananaje?

Mimi ninadhani dawa yake ni kusikiliza mahakama mwanzo mwisho tuone hii saga itaishaishaje.

Maana kwa jinsi mahakama inavyoendeshwa hii, kwa kila kitu kuwekwa wazi bandika bandua, hata itakapotolewa hukumu tutaona imetoa haki ama imeegemea upande gani kwa upendeleo.

Hapo sasa tutakuwa na mandate ya kukosoa tupendavyo, hata kutukana tutatukana kama mahakama hawatatenda haki.

Tusubiri mwisho, tusigombane sisi kwa sisi, maana baadaye tusije tukabeba aibu zao kwa kujikumbata mikono usoni kwa kuficha soni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unajua hukumu bado,kwa nini umuite au hata kumhisia kuwa ni gaidi? Hizo akili zako ziko sawa?
 
Kama unajua hukumu bado,kwa nini umuite au hata kumhisia kuwa ni gaidi? Hizo akili zako ziko sawa?
Mkuu nadhani umekosea pa kulenga comment yako.

Hakuna popote nilipohisi wala kusema kuwa Mbowe ni gaidi.

Nilichomaanisha mimi ni kuwa, sisi wadau tusianze kutuhumu kwa kudhania kuwa ni gaidi ama siyo gaidi, wakati kesi iko mahakamani inasikilizwa ili kuupata ukweli.

Kwa kuwa kesi hiyo inaendeshwa kwa uwazi, tuifuatilie hatua kwa hatua kwa umakini hadi mwisho ndiyo tuje na maoni yetu yatakayotokana na hukumu itakavyotolewa.

Kusema moja kwa moja ni gaidi ama si gaidi wakati kesi ipo mahamani na hukumu haihatolewa, ni mihemuko wa kishabiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Mbatia yeye hilo halijui na wala hataki kabisa kuheshimu mahakama, kila kukicha yeye anapwayuka tu na kuishinikiza eti mahakama imuachie huru mboe!!

Ulicho kisema ndicho kinachotakiwa haswa kuheshimu utawala wa sheria.
 
Híyo ndiyo democrasia yenyewe, wewe kama ni mwoga jifiche uvunguni mwa kitanda chako
 
Híyo ndiyo democrasia yenyewe, wewe kama ni mwoga jifiche uvunguni mwa kitanda chako
Demokrasia sio kutumia kinywa chako vibaya kwa kusambaza chuki, demokrasia sio kupwayuka, demokrasi ni kuheshimu na kutii mamlaka zote zilizopo kwa mujibu wa sheria hatahivyo unaweza kukosoa bila kujenga chuki au kudharau.
UJASIRI wa KIJINGA sio Demokrasia bali ni ujuha.
 
Ha ha

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ajiuzulu? We upo serious kweli au ushakula ugali wa huku hapo lumumba sasa unajamba ushuzi?
Unajua maana ya utawala wa sheria wewe? Kama angekuwa na utawala wa sheria ilikuaje Hangaya akawahukumu kina adamo mbele ya BBC?
Umekuwa nchi ya wapuuzi sana nyie mtu kuhoji jambo mnamuita mchochezi! Kachochea nn?
Ndo maana hata magazeti mnayapa vya kuandika huku mkidanganya kwamba mambo ni mazuri, sijui uchumi unakua na maujinga mengine
Hovyo kabisa. Ati mbatia ajiuzulu siasa! Mwambie mwigulu ajiuzulu kwanza kwa kupotosha umma kuhusu Covid
 
mimi ni mzalendo wa kweli kwa nchi yangu, nitaitetea na kuilinda nchi yangu kwa kutumia akili zangu na maarifa yangu bila kutegemea ujira.
watanzania wazalendo wa kweli wanaelewa ninacho kisema.
Tanzania kwanza vyama badae.
Kutetea ukatili wa CCM ndo mnaita uzalendo? Mtu akiikosoa CCM ndo ameikosoa nchi?
 
Muonye na Samia kuingilia mamlaka ya mahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…