Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Usingetukana katika kubadilshana mawazo.Stupid minds!! Ugaidi wa Mbowe ulianza lini? Unafahamu gaidi anafananaje?
Eti ugaidi unafananaje!
Embu tueleze sasa wewe unayeujua ugaidi jinsi unavyofanana, enhee unafananaje?
Mimi ninadhani dawa yake ni kusikiliza mahakama mwanzo mwisho tuone hii saga itaishaishaje.
Maana kwa jinsi mahakama inavyoendeshwa hii, kwa kila kitu kuwekwa wazi bandika bandua, hata itakapotolewa hukumu tutaona imetoa haki ama imeegemea upande gani kwa upendeleo.
Hapo sasa tutakuwa na mandate ya kukosoa tupendavyo, hata kutukana tutatukana kama mahakama hawatatenda haki.
Tusubiri mwisho, tusigombane sisi kwa sisi, maana baadaye tusije tukabeba aibu zao kwa kujikumbata mikono usoni kwa kuficha soni.
Sent using Jamii Forums mobile app