Mzee Mbatia acha kueneza chuki

Mzee Mbatia acha kueneza chuki

Nimekuwa nikisikiliza "clips" mbalimbali za Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mzee Mbatia hakika mtakubaliana nami kuwa mazungumzo yake yamejaa chuki kali dhidi ya Serikali ya awamu ya 6.

Msingi wa chuki zake zinatokana na Mbowe kufikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi.

Mzee Mbatia tangu siku ya kwanza Mbowe alipo fikishwa mahakamani hakuonyesha kuheshimu utawala wa sheria na alidiriki kutoa matamko kuwa Mbowe aachiwe huru!!!

huyu ndio Mbatia asiye jali wala kuheshimu utawala wa sheria kisa eti swahiba wake kafikishwa mahakamni!!!

Ni vyema mbatia akajifunza kuheshimu Utawala wa Sheria, namshauri akae kimya kuhusu suala la mbowe, aache vyombo vyenye mamlaka ya kikatiba vitimize majukumu yake.

Namshauri Mbatia aache kueneza chuki dhidi ya Serikali ya awamu hii 6, atumie demokrasia vizuri.

Namshauri Mbatia aache tabia ya kudharau mamlaka.

Mwisho namshauri Mbatia kama amechoka kufanya siasa ni bora akajiuzulu kuliko kueneza chuki na kudharau mamlaka.

Wanaoeneza chuki hudhani kuwa ni hawa hapa?

IMG_20211119_091739_123.jpg

Bila kuwasahau wanaotekeleza haya kwa niaba yao:

IMG_20211202_092804_863.jpg
 
Tatizo la mzee Mbatia anachanganya Chuki zake binafsi kwenye masuala mengine ya kitaifa.

mbaya zaidi anachochea wananchi waichukie Serikali yao kwa hisia zake binafsi.
aache hiyo tabia mara moja,
inatukera sisi wananchi.
 
Utawala wa Sheria ni pamoja na kubambikia watu kesi? Yaani serikali ikisjisikia kushitaki Mtu inakamata inatengeneza mashahidi wa kubumba inapeleka raia mahakamani? Kwako Kwa vile kesi fake iko mahakamani ndo utawala wa Sheria? Hivyo vichwa mnabeba vya nini kama ndani yake Hamna ubongo?
Kama Mbowe ni "MALAIKA" basi kweli nakubaliana na wewe kuwa atakuwa amebambikiwa, lakini kama Mbowe ni "BINAADAMU" basi elewa kuwa hakubambikiwa.
 
Tatizo la mzee Mbatia anachanganya Chuki zake binafsi kwenye masuala mengine ya kitaifa.

mbaya zaidi anachochea wananchi waichukie Serikali yao kwa hisia zake binafsi.
aache hiyo tabia mara moja,
inatukera sisi wananchi.
 
kumbe kesi ya Mbowe tuiachie court? Wakati Samia anasoma hukumu ya kesi pale BBC ulikuwa umelala?
 
Mbowe na sabaya wapi na wapi? Mbowe alimsulubu nani akiwa kama kiongozi?
 
Lini mbatia kawa mzee? Sasa kama mbatia ni mzee, wasira awe nani? Hii tabia ya kuita watu wazee wakati hawajaufikia huo uzee si nzuri
Hivi mzee unaanzia miaka mingapi?.James Mbatia ana mika 57
 
Mwenyekiti wa vyama vya upinzani Mzee Shibuda anapaswa amkemee Mzee mwenzake Mzee Mbatia aache kuhubiri siasa za chuki.
anacho kifanya mzee Mbatia ni matumizi mabaya ya Demokrasia.

Tanzania inademokrasia tele....ila baadhi yetu akiwemo Mbatia anaitumia demokrasia vibaya, hivyo inapaswa akemewe.
 
Mbowe na sabaya wapi na wapi? Mbowe alimsulubu nani akiwa kama kiongozi?
Kama Mbowe ni "MALAIKA" basi kweli nakubaliana na wewe kuwa atakuwa amebambikiwa, lakini kama Mbowe ni "BINAADAMU" basi elewa kuwa hakubambikiwa.
 
Nimekuwa nikisikiliza "clips" mbalimbali za Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mzee Mbatia hakika mtakubaliana nami kuwa mazungumzo yake yamejaa chuki kali dhidi ya Serikali ya awamu ya 6.

Msingi wa chuki zake zinatokana na swahiba wake Mbowe kufikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi.

Mzee Mbatia tangu siku ya kwanza Mbowe alipo fikishwa mahakamani hakuonyesha kuheshimu utawala wa sheria na alidiriki kutoa matamko kuwa Mbowe aachiwe huru.

Huyu ndio Mbatia asiye jali wala kuheshimu utawala wa sheria kisa eti swahiba wake kafikishwa mahakamni.

Ni vyema mbatia akajifunza kuheshimu Utawala wa Sheria, namshauri akae kimya kuhusu suala la Mbowe, aache vyombo vyenye mamlaka ya kikatiba vitimize majukumu yake.

Namshauri Mbatia aache kueneza chuki dhidi ya Serikali ya awamu hii 6, atumie demokrasia vizuri.

Namshauri Mbatia aache tabia ya kudharau mamlaka.

Mwisho namshauri Mbatia kama amechoka kufanya siasa ni bora akajiuzulu kuliko kueneza chuki na kudharau mamlaka.
Umesahau kuweka namba yako ya simu unaweza kulamba teuzi.
 
Umesahau kuweka namba yako ya simu unaweza kulamba teuzi.
mimi ni mzalendo wa kweli kwa nchi yangu, nitaitetea na kuilinda nchi yangu kwa kutumia akili zangu na maarifa yangu bila kutegemea ujira.
watanzania wazalendo wa kweli wanaelewa ninacho kisema.
Tanzania kwanza vyama badae.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tangu lini Mbatia akawa kijana?!!
hiyo ni heshima yake kutokana na UMRI alio fikia.
Mzee Mbatia.
Mzee Mbowe.
Kanywe chai ulale toka lini mbowe na mbatia wazeeke fikra pevu hua hazizeeki fala wewe
 
Mwambieni mzee Mbatia kuwa kila zama na kitabu chake.
hii ni awamu ya 6, kazi inaendelea kwa spidi ya 120
 
Kijana kama Mbatia anaitwa Mzee, na akina Warioba waitwaje sasa?
 
Kama Mbowe ni "MALAIKA" basi kweli nakubaliana na wewe kuwa atakuwa amebambikiwa, lakini kama Mbowe ni "BINAADAMU" basi elewa kuwa hakubambikiwa.
Unajichanganya!Kwani ukiwa binaadamu ni "lazima" uutende huo ugaidi?Hebu rudia kusoma na kutafakari ulichoandika.
 
Nimekuwa nikisikiliza "clips" mbalimbali za Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mzee Mbatia hakika mtakubaliana nami kuwa mazungumzo yake yamejaa chuki kali dhidi ya Serikali ya awamu ya 6.

Msingi wa chuki zake zinatokana na swahiba wake Mbowe kufikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi.

Mzee Mbatia tangu siku ya kwanza Mbowe alipo fikishwa mahakamani hakuonyesha kuheshimu utawala wa sheria na alidiriki kutoa matamko kuwa Mbowe aachiwe huru.

Huyu ndio Mbatia asiye jali wala kuheshimu utawala wa sheria kisa eti swahiba wake kafikishwa mahakamni.

Ni vyema mbatia akajifunza kuheshimu Utawala wa Sheria, namshauri akae kimya kuhusu suala la Mbowe, aache vyombo vyenye mamlaka ya kikatiba vitimize majukumu yake.

Namshauri Mbatia aache kueneza chuki dhidi ya Serikali ya awamu hii 6, atumie demokrasia vizuri.

Namshauri Mbatia aache tabia ya kudharau mamlaka.

Mwisho namshauri Mbatia kama amechoka kufanya siasa ni bora akajiuzulu kuliko kueneza chuki na kudharau mamlaka.
Wewe kwa roho Yako mbaya, ndio maana unaona alichotwndewa ni sawa
 
Abambikiwe mbowe kwa lipi haswa?!
Mbowe anavuna alicho kipanda mwenyewe kwa matendo yake mwenyewe.
ndio maana yupo mahakamani.

Hakuna aliye juu ya sheria wala usijidanganye eti kuwa kuwa Mboe ni Mwanasiasa basi hapswi kushitakiwa!!! au hawezi kutenda uhalifu!!!
Kwa mujibu wa akili za mtaa was kijani.
 
Unajichanganya!Kwani ukiwa binaadamu ni "lazima" uutende huo ugaidi?Hebu rudia kusoma na kutafakari ulichoandika.
nilicho kimanisha hapo ni kwamba;
ni Malaika pekee ndiye hawezi kutenda Makosa ila binaadamu hutenda makosa/dhambi iwe kwa uwazi au hata kificho.

sasa huwa nashangaa sana ninapoona unamtetea mboe ambaye ni binaadamu kama ww na mimi ambaye anaweza kutenda makosa kwa njia ya kificho bila hata mke wake kujua.
ndio maaana katiba ya nchi imeweka chombo cha mahakama ambacho kazi yake ni kuchambua na kutoa haki maana si kila mwenye tuhuma ni mkosaji hadi pale mahakama itakapo tamka.
 
Mzee Mbatia acha tabia ya kuingilia mamlaka ya mahakama.
wewe ni nani hadi uitake mahakama imuachie huru mbowe?!
kama unaushahidi kuwa kesi ya mboe ni ya kisiasa basi nenda mahakamani sio kubwabwaja huju nje, hilo hlisaidiii.
 
Back
Top Bottom