Mke wake alikuwa mshenzi tu nae, i dont see a point kama una hustle na mwanamke kisha anakusaliti na kutaka kukuua kwa sumu unaokolewa na dakatari wa familia. Huo upendo wako utaendelea kuwepo kwa mtu huyo kweli? Hata wewe mkeo akifanya hayo unaendelea kumpenda ama unaachana nae!?
Atleast mkewe amekufa natural death, tofauti na vile ambavyo yeye alitaka Mengi afe. They had children together hilo halibadiliki ila haiondoi ukweli kuwa mwanamke wake alikuwa mshenzi na alimpa stress za ajabu enzi za ujana wake.
Na pia nadhani mzee aliathirika sana kisaikolojia na hio hali na kuona mwanamke ni kitu cha hovyo tu aheri awe anagonga na kuwaacha akikinai. Ila lately baada ya moyo kupona ndio akaona kumbe kuna wanawake proper tu anaweza kuoa na kuanzisha nae familia vyema tu ndio kumuoa K-Lynn