Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

alikua anamalizia kufurahia maishayake ya mwisho
 
Ni Njia yetu site Mkuu. Ila ukiwa na pesa ni bora ukaweka kiburi au mzaha pembeni hasa inapotokea kifo cha mwenza mliyechuma wote ila mkashindwa kuishi pamoja baadaye.

Tunajisahau sana binadamu, tukipata tunafikiri ndo tumeimaliza dunia. Mungu atusaidie tuweke utu mbele kuliko maslahi binafsi.
 
Huyo unayemwita mshenzi anaweza kua na umri zaidi ya mamayako, jifunze kuheshimu watu wakubwa. ungeandika tuu bila kuweka neno mshenzi
Haibadilishi chochote as long as amefanya ushenzi. We kama una mentality za mkubwa hajambi endelea tu na hizo itikadi. Bila shaka we utakuwa mtu toka nyanda za juu kusini
 
Kajifunze mapenzi. Binadamu wote wanahisia. Kama wewe Una Ni shauri yako
 
Nimekuelewa vyema tu mkuu. Ila nilitaka tu kuweka sawa kuwa hakuna mkamilifu. Binadamu wote tuna udhaifu mahala flani na kwakua hilo ni dhahiri huwa situkuzagi mtu. Hata baba yangu atakapofanya kitu cha hovyo lazima nitamueleza kuwa hilo haliko sawa. Huwa sifunikagi kombe kabisa...sina desturi hio! Kwamba eti huyu mkubwa and shit
SAWA ILA NIMEKUSHAURI KWA NIA NJEMA
 
Mkuu yule mama hakuwa mwehu kutaka kufanya vile huwenda ni hasira.
Ki ukweli mzee alikuwa chapa ilale katelezesha sana nyoka kwa mabinti ambao walikuwa wakali,mamiss na yoyote aliyechipukia town ilikuwa lazima achape sasa vitu kama hivyo huwenda vilipelekea hata mama naye kuangukia kwenye kuchepuka ili naye atulizwe mihemko.

Ukija kwenye swala la kumwekea sumu huwenda kuna jambo kubwa lilijitokeza kwenye familia likamuumiza mama labda huwenda magonjwa makubwa yalisogea ndani ya nyumba,na wanawake wa kaskazini huwa wanakuwa na hasira ambazo huwa hazitulii haraka kama kapanga kukuua anaweza tafuta kisu akaweka sehemu ukilala ukikoloma tu anakuchinja ndio moyo wake unatulia.
 
Tunajisahau sana binadamu, tukipata tunafikiri ndo tumeimaliza dunia. Mungu atusaidie tuweke utu mbele kuliko maslahi binafsi.
Sure Mkuu. Ni fundisho kwetu sote
 
Nilipoona picha hiyo kwa mara ya kwanza toka sim ya wife..nikamwambiahuyu mzee amekaribia kuvuta..akauliza kwa nini nikasema ..maji yakikaribia kukatika bomban huwa yana tabia ya kuongeza spid na yanatoka mengi...akaniambia shindwa shetan..nikasema subir utaona jana asubuhi akawa wa kwanza kuona taarifa akaniambia nina mate mabaya sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…