Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Yes, Kinje alikula sana huyu bibie na kilichowatenganisha ni tamaa za bibie, alipata mzungu akamdanganya anamuoa bibie akamtoroka Kinje akaenda south na mzungu kufika huko mzungu kapiga alivyotosheka akamtoroka hotelini, bibie akawa hana jinsi ikabidi arudi bongo na aibu zake, kurudi akaanza kulipitisha kwa Kinje tena Kinje akamkataa, ndio akaanza kudanga kwenye mahotel makubwa akamvua Mzee baba.
 


Kinje na yeye alimfanya Kylin kama wifey kwa hiyo hakumuuza kwa wenzie, kinachonisikitisha Kylin alikua anasagana na Salama Jabir na hile kujiuza kwenye macasino kule JMAll samora alikua anachezesha pale casino , muda ukiisha kama una hela unaondoka nae ( Kahaba mstaafu)
 
Kwa Umri wake mambo anayoyafanya ni kujivunjia heshima na huko sio kula vinono ila hiyo ni tabia ya mtu mzima ovyoooo tabia kama hizo walitakiwa kuzionyesha vijana barobaro si watu wa umri wake

Sent from my XT1032 using JamiiForums mobile app
Tabia gani mbaya umeiona wewe?? asitembee na mkewe??? Asikis...[emoji57][emoji57][emoji57][emoji23][emoji23][emoji23] Vinawauma kwelii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini asiweke maisha yake private? Ni vema akaendelea kuwa na yale maisha yake ambayo hata watoto wake hawakuwa na hawako katika camera kiasi hicho. Huyu binti naona anasheherekea Mercy Anna Shangali- Mengi kufa. Ajiangalie sana. Shameful.
Halafu mkuu umeona mbali ujue?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu demu anajifanyaga mpole sana...yaan she's acting like saint asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…