Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Mwache ainjoi maisha yake, wazee wenye umri wengi huwa wanajitahidi kuishi kwa furaha
Sent by anonymous user
Sent by anonymous user
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa hapendwi angeolewa na kuzaa? Akili za kijinga hizi zilizojaa chuki na umaskini ndani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika? Mbona wenye sukari wanagonga kama kawaSiyo sukari tu pia kind of mild stroke ona tembea yake
Hivi ana watoto wakubwa tofauti na ao wa k Lyn?
Ana ubichi gani huyo bibi kizee.???Wivu huo ujui ukizeeka mapenzi ndiyo yananoga ukizingatia anamtoto mbichi!
Ha ha ha ha amejenga heshima kwa zaidi ya miaka 50, anaiporomosha kwa picha ya sekunde 2,,akiyafanya hayo Diamond hakuna wa kushtuka,,kwa tamaduni na mindset yetu watanzania,,hatujafikia hatua ya kuona kawaida kwa mtu wa type ya MengiSijui watoto wake na ndugu zake wako wako wapi?
Nimejiuliza sana hili swali: Kwanini wanakubali kuona baba yao anakuwa kituko kwenye mitandao?
Heshima aliyojijengea yule Mzee inapotea ghafla. Sasa hivi amekuwa kama wakina Diamond Platnumz
Kwa umri wake,Mali zake,watoto wake,Afya yake
Unabaki unajiuliza ndiye huyu aliyekuja na orodha ya mafisadi papa..Ha ha ha ha amejenga heshima kwa zaidi ya miaka 50, anaiporomosha kwa picha ya sekunde 2,,akiyafanya hayo Diamond hakuna wa kushtuka,,kwa tamaduni na mindset yetu watanzania,,hatujafikia hatua ya kuona kawaida kwa mtu wa type ya Mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii.
Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo yanayomdhalilisha.
Umri wake siyo wa kukaa kutufundisha mapenzi.
View attachment 1060633
Mmezoea slopeMwenye # ya K lyn.. Nami nimpandie hewani najua fika yule mzee hamfikishi kunako.
Sent using Jamii Forums mobile app