Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,470
Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii
Huyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii. Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo yanayomdhalilisha. Umri wake siyo wa kukaa kutufundisha mapenzi.
Huyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii.
Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo......
Sent using Jamii Forums mobile app