Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Rostema

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
2,926
Reaction score
9,470

Huyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii.

Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom