[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapo.sawa, inaonekana mzee homa ya mapenzi imemzidia,acha mzee ale bata
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka moja kati ya hizo video tuone
Hivi K-Lyn ni mwenyeji wa wapi ??
Hahahaa, mkuu mimi nilikuwa nataka kujua tu.Hahahahaha, bablai unaelekea wapi tena.
Ila kwa kumbukumbu zangu ni Kigoma au Karagwe.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuwa jirani yenu huyo?Hivi K-Lyn ni mwenyeji wa wapi ??
Hahaha, Rrondo bwana!Hakuwa jirani yenu huyo?
Ulikuwa unatujaribu?Hahaha, Rrondo bwana!
ππππππ
Hivi K-Lyn ni mwenyeji wa wapi ??