Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Ukijua kuendesha baiskeli umejua tu hata ukiwa na miaka 100 unaendesha tu mzee kapiga shuti la mbali katoka na twins.
 
kuna umri ukifika tunapaswa kukubali kuwa baadhi ya mambo yapite tu japo fedha zipo zisikutese nyonga zitakushtaki.
 
.....wapigie marafiki, waambie hii sio kila wiki, hii ni kula siku, mchana na ucku,...sherehe imepamba moto kama uswazi na kiduku.......pesa pesa pesa pesa......
 
Jilie vitu vyako mzee Mengi hayo madua ya kuku yasikutie pressure,kwani hela mlitafuta wote?
 
Ukisoma comment zote zinazomponda mzee Mengi wengi wao maisha yamewa baka kiasi kwamba wamesha jikatia tamaa! Angekuwa amefanya bill gates mzungu angeonekana mjanjaaaaaaaa! Wabongo punguzeni chuki! Vijana tutafute hela uzee utakuja kutuumbuaa
 
Life is not fair....Wacha watu wafaidi
..And will never be. Mungu kaweka makusudi mfumo huo. Assume kila mtu angekuwa na pesa, nani angemheshimu mwenzake?
 


Yaaah!hela sabuni ya roho! Nimekusoma!
 



!
!
Kuwa uyaone aisee.
 
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Ungekua wewe ndo Mzee, nahisi Leo ungekua Jela kwa kosa la kutoa roho ya Mkeo!

Mnaongea tu vitu msivyojua, kuna dhambi zingine Partner akifanya, mwambie awasalimie huko atapoenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…