Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

huyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng

acheni hizo mapenzi hayana umri
 
This is what happens when emotions take control of your brain........
f9d58f5d0f16102b4adc5c2c3550357b.jpg
 
Vibabu vyenye hela viko vzuri hasa wanajali vijana pasua kichwa hafu wabahili wakitaka mechi wanasugua huku hawatoi kitu. Bora klyn na babu yake
Ahaaaaa vijana wana uchu sio mkuu???? Wazee hawa pigi komoa kispoti kimoko cha afya
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Aliyefukua uzi huu Mungu anamuona haki ya nani!! Yaani nilivyofulia leo sidhani hata kama kuna demu atakubali salamu yangu, nipo bar na kichupa na maji ya uhai!!
 
Pesa inaongea, kuna jamaa ana miaka 42 kamuoa dada mwenye miaka 23 dah!
Shikamoo pesa
Na Trump je mbona hamumusemi?pia uncle Bob,mwacheni Machache ajilie bata,wale wengine walibaki kukimbiza ndege wakati si waoaji,unadhani huyu binti angeolewa kweli na mmatumbi wa Kilwa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Mkuu unajua chanzo cha ndoa ya awali kuvunjika unaijua?
Je ukitoka safarini ukakuta kidume ndani kinamhudumia mkeo mambo yale utavumilia?
 
Acheni Ujinga, Mwanamke Anaweza Kuolewa Na Mwanaume Wa Rika Yoyote Ilimradi Kla Moja Ameridhka Kwa Nafsi Yake. Hakuna Walipo Kataza, Iwe Katiba Au Vtabu Vya Mungu. Ni Mitazamo Tu Ya Watu, Angeolewa Na Acyeenda Shule Watu Wangekosoa, Angeolewa Na Mackn Pia Wapo Wangekosoa, Watu Hawana Jema. Vijana Tunaoa Cku Hizi? Au Mlitaka Asiolewe Wkt Alikua Above30, Kwann Wakina Kinje Vijana Hawakumuoa Wakamuacha? Angeoa Dada Zenu Mngekuja Kuponda Humu? Masikini Mnashda Sn
 
Mkuu unajua chanzo cha ndoa ya awali kuvunjika unaijua?
Je ukitoka safarini ukakuta kidume ndani kinamhudumia mkeo mambo yale utavumilia?

Ila mh pamoja na hao twins kuwa na uhakika wa fwedha for the rest of their lives, sidhan kama Ryan na jayden watakuwa wanapendwa na wakubwa zao (Regina na Abdiel) maana hiz chuki kati ya ndugu, Regina na abdiel probably watakuwa wanawaonea wivu hao twins, cjui lakini QUIGLEY Sky Eclat tracy martins Heaven Sent
 
Mkuu age gap kwanza ni kubwa mno, hao Ryan na Jayden wangeweza kuwa wajukuu wa Regina
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ila mh pamoja na hao twins kuwa na uhakika wa fwedha for the rest of their lives, sidhan kama Ryan na jayden watakuwa wanapendwa na wakubwa zao (Regina na Abdiel) maana hiz chuki kati ya ndugu, Regina na abdiel probably watakuwa wanawaonea wivu hao twins, cjui lakini QUIGLEY Sky Eclat tracy martins Heaven Sent
Mara nyingi watoto wa nyumba kubwa na ndogo ni mara chache kupendana, lakini inategemea akili ya mke mdogo, ikiwa mke mdogo anaipenda familia ya mengi hususani watoto bila shaka hawa mapacha watapendwa pia.
 
Mkuu hao watoto wa Mengi kwa Jacquline ni kama aunt na uncle zake. Mjini pesa heshima kijijini kwenu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Jambo usilo lijuwa kama kiza kinene. Bora ungekaa kimya maisha ya watu hayakuhusu.
 
Back
Top Bottom