Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Acha umbea mpuuz mkoja wewe. Maisha yao yanakuwashia nini
 
Ukisoma comment zote zinazomponda mzee Mengi wengi wao maisha yamewa baka kiasi kwamba wamesha jikatia tamaa! Angekuwa amefanya bill gates mzungu angeonekana mjanjaaaaaaaa! Wabongo punguzeni chuki! Vijana tutafute hela uzee utakuja kutuumbuaa
Ni kweli kabisa. Waambie vijana watafute pesa maana bila hivyo haiwezekani
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ukisoma hapo unaelewa nini..?? Au unataka turefushe pages kwa leasure ..??
Tajiri asiye na furaha anatamani awe maskini ili awe na furaha na maskini asiye na furaha anatamani awe tajiri ili awe na furaha.
 
Nasikia alimsaliti,mke alikua anachepuka
Safi, sasa kama mkubwa mwenzio anachepuka kwann usiangalie upende mwingine?? Na kama huyo mkewe alikua anampenda lazima yangesikika mabifu kati ya k-lyn na mkewe mengi.
 
Tajiri asiye na furaha anatamani awe maskini ili awe na furaha na maskini asiye na furaha anatamani awe tajiri ili awe na furaha.

Kama kuna wakati "Tajiri" na wala sio " Tajiri asiye na furaha" ndo mana mimi nikamjibu kwa muktadha wa "tajiri" na sio kama tajiri asiye na furaha....!! Alafu mbona rahisi sana kuwa maskini kuliko kuwa tajiri, kama hao matajiri wasio na furaha wanatamani kua maskini kwa nini wasiwe..?? Mbona ni siku moja wanaweza kulalia ngozi..??
 
Tajiri asiye na furaha ni tajiri pia.
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Back
Top Bottom