Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mama alikuwa amejichokea vituko vya mzeeMkuu unajua chanzo cha ndoa ya awali kuvunjika unaijua?
Je ukitoka safarini ukakuta kidume ndani kinamhudumia mkeo mambo yale utavumilia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama alikuwa amejichokea vituko vya mzeeMkuu unajua chanzo cha ndoa ya awali kuvunjika unaijua?
Je ukitoka safarini ukakuta kidume ndani kinamhudumia mkeo mambo yale utavumilia?
Hayo siyo mapenzi. Ni utovu wa nidhamu. Mtu ukikosa hofu ya Mungu unaweza kufanya kila jambo kwa kuwa unakosa aibu. Hajiulizi watoto wake wanamwona vipi babu huyo kutoka hadharani na mtoto mdogo anayemwita mke. Nadhani ana wajukuu wakubwa kuliko hao watoto anaotamba nao.kweli mapenzi hayana adabu huyo babu kajichukulia kijikuu chake alafu watu wana shangilia
Walikuwa wanajitongozesha wenyewe,hope walikumbuka ndom.Wanawake walikuwa wanapeana number yake ya simu na wewe upate mavuno, hasa ukiwa mweupe
huyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng
Tamaa mbaya sana.Wengi tu, kuna thread ilimuhusu humu Amatus Liyumba. Kuna list kabisa ya wanawake ilitajwa, mimi nilishasahau majina.
Kwani vingunguti hakuna matajiri?Huyu jamaa anatuzingua, kama tajiri anataka kuwa masikini mbona simple tu. Anauza kila kitu hela anazitupa anahamia Vingunguti.
jaribuni hii sitaki udalali mm Earn Cash | Make your online job now and earn 10$ per few seconds task and 4500$ monthly.
Mzee kapigwa mkwara leo lazima atakuwa kajinyea tenaNdio na kuna nyingine zilivuma kuwa ulimwagiwa makinikia kwenye Masaburi.
Anaweza kuwa umri wa baba/babu yako umelifikiria hilo?Mzee kapigwa mkwara leo lazima atakuwa kajinyea tena
Mimi huwa sipigi TIGO, hebu watafute wapumuliaji, wakupumulie.Mzee kapigwa mkwara leo lazima atakuwa kajinyea tena
Muandalieni Mzee mtondoo wake kabisaMimi huwa sipigi TIGO, hebu watafute wapumuliaji, wakupumulie.
Nani?Anaweza kuwa umri wa baba/babu yako umelifikiria hilo?
Unaonaje tukiandaa makalio yako yawe Mtondoo?Muandalieni Mzee mtondoo wake kabisa
True,Mfunze Mtoto njia impasayo nae hatoiacha hata Uzee wake!Mdogo wake Benjamin Mengi ni mstaarabu kupindukia sasa.. Nakumbuka mwaka flani nilienda kwake pale Machame nilikuwa nina shida nae flani, Mzee alikuwa anatoka kwenda kanisani lakini aliketi tukaongea kama dakika 10 ndio akaondoka.. Ustaarabu huo wameurithisha mpaka kwa watoto wao.. I can imagine Regina au Abdiel wangekuwa na fujo kiasi gani hapa mjini kama wangekuwa watoto wa JK... But they are no where to be found.. Sio kwenye social networks wala interactions za wadada au mabitoz wa mjini.. Tunapaswa kuwakuza watoto wetu kwenye msingi huo
Mkuu kama mi mapenzi ya rohoni anaweza kuvumiliaAcha babu ale vinono vyake, namuonea wivu lakini ana deserve kila kitu...hapa ni kusubiri kidogo bau azeeke zaidi, lazima J atatafuta mashine ya kijana tu! Vijana kaeni mkao wa kula..Attencio...
"Roho yapenda lakini Mwili......." malizia dada..Mkuu kama mi mapenzi ya rohoni anaweza kuvumilia
He's happy for him yeah why not bcs we as mens are supposed to be happy when one of us has done something good!!.Happy for him????