Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

kweli mapenzi hayana adabu huyo babu kajichukulia kijikuu chake alafu watu wana shangilia
Hayo siyo mapenzi. Ni utovu wa nidhamu. Mtu ukikosa hofu ya Mungu unaweza kufanya kila jambo kwa kuwa unakosa aibu. Hajiulizi watoto wake wanamwona vipi babu huyo kutoka hadharani na mtoto mdogo anayemwita mke. Nadhani ana wajukuu wakubwa kuliko hao watoto anaotamba nao.
 
huyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng

Wabongo Bwana. Ulitaka uzae nae wewe??
 
Mdogo wake Benjamin Mengi ni mstaarabu kupindukia sasa.. Nakumbuka mwaka flani nilienda kwake pale Machame nilikuwa nina shida nae flani, Mzee alikuwa anatoka kwenda kanisani lakini aliketi tukaongea kama dakika 10 ndio akaondoka.. Ustaarabu huo wameurithisha mpaka kwa watoto wao.. I can imagine Regina au Abdiel wangekuwa na fujo kiasi gani hapa mjini kama wangekuwa watoto wa JK... But they are no where to be found.. Sio kwenye social networks wala interactions za wadada au mabitoz wa mjini.. Tunapaswa kuwakuza watoto wetu kwenye msingi huo
True,Mfunze Mtoto njia impasayo nae hatoiacha hata Uzee wake!
 
Acha babu ale vinono vyake, namuonea wivu lakini ana deserve kila kitu...hapa ni kusubiri kidogo babu azeeke zaidi, lazima J atatafuta mashine ya kijana tu! Vijana kaeni mkao wa kula..Attencio...
 
Acha babu ale vinono vyake, namuonea wivu lakini ana deserve kila kitu...hapa ni kusubiri kidogo bau azeeke zaidi, lazima J atatafuta mashine ya kijana tu! Vijana kaeni mkao wa kula..Attencio...
Mkuu kama mi mapenzi ya rohoni anaweza kuvumilia
 
Happy for him????
He's happy for him yeah why not bcs we as mens are supposed to be happy when one of us has done something good!!.
Halafu samahani hivi jina lako linatamkwa 'nasma-pesa' ama 'nas-mapesa'?..🙂 🙂 🙂
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom