Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Hivi atakuwa anafikishwa kileleni kweli??Vibabu vyenye hela viko vzuri hasa wanajali vijana pasua kichwa hafu wabahili wakitaka mechi wanasugua huku hawatoi kitu. Bora klyn na babu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi atakuwa anafikishwa kileleni kweli??Vibabu vyenye hela viko vzuri hasa wanajali vijana pasua kichwa hafu wabahili wakitaka mechi wanasugua huku hawatoi kitu. Bora klyn na babu yake
Kuna wakati tajiri anatamani kuwa kama maskini ili ajione amekamilika, vile vile maskini kutaka kuwa kama tajiri ili ajione amekamilika!
Utajiri usio na furaha ndani yake ni mbaya kuliko umaskini wenyewe.
Tajiri atamani kua maskini...?? Mmmh..!! Kuna walakini hapo..!
Utajiri usio na furaha ndani yake ni mbaya kuliko umaskini wenyewe.
Utajiri usio na furaha ndani yake ni mbaya kuliko umaskini wenyewe.
Kwani nani kasema ni kila tajiri hana furaha?
Ushasema "usio na furaha".Sio kila tajiri hana furaha na utajiri wake sasa..!!
Ni kweli kabisa. Waambie vijana watafute pesa maana bila hivyo haiwezekaniUkisoma comment zote zinazomponda mzee Mengi wengi wao maisha yamewa baka kiasi kwamba wamesha jikatia tamaa! Angekuwa amefanya bill gates mzungu angeonekana mjanjaaaaaaaa! Wabongo punguzeni chuki! Vijana tutafute hela uzee utakuja kutuumbuaa
Wewe unajua tajiri ni Bhakhresa tu?Ushawahi kuwa tajiri, au umesikia story kwa Bhakhresa?
Yupo moshi.Hivi mama Mengi original yupo wapi?
Kwani nani kasema ni kila tajiri hana furaha?
Kuna wakati tajiri anatamani kuwa kama maskini ili ajione amekamilika, vile vile maskini kutaka kuwa kama tajiri ili ajione amekamilika!
Machame nkuu, kisereni.mama yake atakua ashaakufaga mkuu maana ni kizee na atakua amezikwa Machame
Tajiri asiye na furaha anatamani awe maskini ili awe na furaha na maskini asiye na furaha anatamani awe tajiri ili awe na furaha.Ukisoma hapo unaelewa nini..?? Au unataka turefushe pages kwa leasure ..??
Safi, sasa kama mkubwa mwenzio anachepuka kwann usiangalie upende mwingine?? Na kama huyo mkewe alikua anampenda lazima yangesikika mabifu kati ya k-lyn na mkewe mengi.Nasikia alimsaliti,mke alikua anachepuka
Ndio na kuna nyingine zilivuma kuwa ulimwagiwa makinikia kwenye Masaburi.Na Kuna habari zilivuma kuwa Mzee wa Monduli alijinyea
Tajiri atamani kua maskini...?? Mmmh..!! Kuna walakini hapo..!
Tajiri asiye na furaha anatamani awe maskini ili awe na furaha na maskini asiye na furaha anatamani awe tajiri ili awe na furaha.
Tajiri asiye na furaha ni tajiri pia.
Kama kuna wakati "Tajiri" na wala sio " Tajiri asiye na furaha" ndo mana mimi nikamjibu kwa muktadha wa "tajiri" na sio kama tajiri asiye na furaha....!! Alafu mbona rahisi sana kuwa maskini kuliko kuwa tajiri, kama hao matajiri wasio na furaha wanatamani kua maskini kwa nini wasiwe..?? Mbona ni siku moja wanaweza kulalia ngozi..??