Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Upumbavu ni kusema wanaotaka ukombozi ni wapumbavu bila kujua kuwa Idadi ya wana ccm ni 6 mil. NEC imeandikisha watu 23 mil. Kama sikosei hivyo 17 mil in ukawa na wasio na vyama bali wazalendo...

Leo katika kampeni ya kuomba kura unawaita waomba kura wapumbavu, nani Mpumbavu zaidi hapo.
 
Bora angemutaja mtu,kwa kauli ile katutukana watz wote tunaounga mkono upinzani.
 
Sijui nani karuhusu huu uhuru wa atusi tz. Chapa chapa wooote wenye matusi!lol!
 

nakuunga mkono
 
Sijwahi kuona watu malofa kama Chadema.
 
1. Tena hao ambao wanakaa na kuanza kusema mkapa katukana nina mashaka hata kam nyumbani kwaoo wana kamusi, maana wangekua nayo walaasingekuahapaanasema mkapa katukana maana angekua anajua maana ya neno pumbavu.

2. kama ni tusi wakumbuke pia suguna mnyika wanaongoza kwa kutukana bungeni. kwa hiyo kama ni swala la kuchukuliwa hatua bas tuanze hao.

3. Watanzania wanaelewa na sio wajinga kama mnavyozani kua mnaweza mkawadanganya eti wachukie chama chao kisa mambo kama hayo. Asante mkapa, Asante magifili na Asante CCM. Mungu ibariki Tanzania Mungu Ibariki CCM.
 
Naunga mkono hoja Mh TataMadiba and actually......👇👇


Kutoka kwa author mmoja wa group la whatsap
 
Last edited by a moderator:
Yaani ktk mikutano ya ukawa nataka watu wawe wanaulizwa eti mnakubali kuwa nyinyi ni wapumbavu, je mpo tayari kutukanwa na kudhalilishwa, je mpo tayari kukipigia kura chama kinachowaita nyingi wapumbavu!???
 
Eti sisi ni wapumbavu?
Acha nikujibu mapema

1.mpumbavu ni ww uliyeuza bank ya nbc
kwa bei ya kutupwa

2.mpumbavu ni ww uliyeuwa reli ya kati
na reli ya dareesalam

3.mpumbavu ni ww uliyeuza nyumba za
posta ukawekeza ww kwenye hoteli yako
ya lamada

4. Mpumbavu ni ww uliyemuambia mahita
akawawauwe wazanzibar mwaka 2001

5.mpumbavu ni ww uliuwa viwanda vya
nchi hii leo magufuli analalamika mbele
yako

6. Mpumbavu ni ww uliyestaafu miaka
kumi iliyopita leo unakuja kuwatukana
watanzania

7. Mpumbavu ni ww uliyemchagua
sumaye miaka 10 kuwa waziri mkuu wako wakati unajua hukubaliani naye.

Hapa tutakujibu upendavo
 

Kama watanzania waliishakombolewa mbona Mkapa hapo hapo aliendelea kusema kuwa CCM ina wajibu wa kumkomboa mtanzania kutoka katika umaskini na maradhi? Inamaana CCM kumkomboa mtanzania kutoka umaskini> Mwerevu, UKAWA kumkomboa mtanzania kutoka umaskini>Mpumbavu? Hii ni akili? au nikitugani?
 

Mwambieni mkapa wenu apunguze viroba anapokuja kuhutuhubia hadhara. Ona sasa alivyowapa kazi ya.kumtetea hapa jamvini!
 
Wewe inawezekana ndio mpumbavu na aliyetamka maana hakuna mahusiano ya neno na maelezo;;;;;;

Dr. Magufuli amenukuliwa akisema nitawakamboa lkn yupo ndani ya ccm kwahiyo ni mpumbuvu...................

Kukomboa ni neno kwa ajili ya kumtoa mkoloni tu,,,,,,,,,,,,,,

Wewe tumia akili ya kuvukia barabara tu, naona unatumia akili ya kwendea chooni kuny..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…