Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

</script>width:100%; height:100px" dir="ltr">
Ni ujinga kuishi kwa kukaririshwa. Huna akili ya kujiendesha na kupambanua mambo. Ndiyo maana umekariri neno "pumbavu as if ndiyo mara yako ya kwanza kulisikia. Wewe ni juha unayeishi kwa rimote.

eeh! Tena na wewe unarudi mlemle? Ni wapi unapotumia vya kwako ulivyobuni mwenyewe? Tulikukaririsha shuleni kusoma herufi na mengi mengine. Kukariri ni sehemu ya maisha usidanganye watu. Kubali tu kuwa Mkapa na Makongoro wamechafua hali ya hewa kwani hata Makufuli akishinda atawaongoza waliotukanwa na hawatahama nchi!
Mkapa awaombe radhi aliowatukana vinginevyo watu watapiga kura za hasira. Ni ushauri tu.
 
RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, amesema, hakuna Mtanzania anayeweza kudiriki kumzomea kwa kuwa rekodi ya utendaji wake kitaifa na kimataifa inaendelea kumlinda.

Mkapa amelakiwa kwa kishindo katika ziara ya siku moja wilayani Kilolo mkoani Iringa.

"Mmeona mapokezi yangu, kuna mtu yeyote amenizomea? Sijifichi na wala sikimbii kuzomewa, mimi niko &#8216;busy' sana na shughuli za kimataifa baada ya kumaliza utumishi wangu serikalini," amesema Mkapa.

Ameyasema hayo jana alipozungumza na wadau wanaonufaika na taasisi yake ya Benjamin William Mkapa HIV/AIDS Foundation wilayani hapa.

Alizungumza wakati wa majadiliano kuhusu hali ya Ukimwi nchini yaliyofanyika katika Ukumbi wa Hospitali Teule ya Wilaya hiyo iliyopo Ilula.

Mkapa amesema, baada ya kumaliza urais wake amekuwa akijihusisha na shughuli mbalimbali za kimataifa zinazomfanya awe safarini muda mwingi akishughulikia uhusiano na ushirikiano baina ya Tanzania na nchi nyingine; mambo yanayohusu kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na kuimarisha taasisi yake ili ishiriki vizuri zaidi katika mapambano ya Ukimwi unaotishia ustawi wa watu na taifa.

Amesema, wanaoishi na Virusi Vinavyosababisha Ukimwi (VVU) ni sehemu ya mapambano ya Ukimwi na hivyo wasiwe na hofu,wajiamini na waape kuishi maisha kama wengine.

Mkapa amesema, nchi inayoendelea ambayo nguvu kazi yake inapungua siku hadi siku kutokana na janga hilo, itakuwa ndoto kwake kupiga hatua za maendeleo.

"Ili tupambane vizuri na janga hili ni lazima tuwe tayari sasa kama nchi kubeba sehemu ya mzigo wa mapambano unaobebwa na wafadhili mbalimbali duniani kwasababu itafika siku watachoka," amesema Mkapa.
[h=2]Thursday, February 18, 2010[/h]
Mzee Mkapa sasa watakuzomea kwa sababu ya kuwatusi.
 
Faiza hi!
You are too critical!
Don't dwell on small things,CCM imeshindwa na wewe usikae kibanda kinachoungua.
Siri; "torika uje"

Walioshindwa wote wamehamia chadomo, huwajuwi?

Makapi yamenunuwa nafasi ya kugombea Urais. Uliona wapi dunia hii?

Mchagga anauzza utu wae kwa pesa na hilo Mbowe kalidhihirishia Ulimwengu.

Kama kuna watu wataechaguwa mgombea kama huyo na chama kama hicho, basi nnayakubali maneno ya Mkapa, hao watakuwa ni Wapumbavu na malofa - Mkapa.
 
Itabid tutumie msemo mmoja wa wamarekani "no matter whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone"

Sisi tunasema "no matter whether he will bring development or not we will choose lowasa from ukawa to show the world that Tanzania is not for ccm only"&#128514;&#128514;&#128514;&#128514;&#128514;&#128514;

Da Pauuuu u u big up dada
Mkapa kasema kuwa ukombozi wa nchi hii uliletwa na ASP na TANU.. na nchi hii haihitaji kukombolewa tena.

Yes... ni kweli kabisaa.

Anakuja tena anajisahau na kusema kuwa CCM inahitaji kuwakomboa watanzania kwenye Ujinga,Maradhi na umaskini..

Huyu mzee amezeeka hovyo na ndiyo maana anatukana wapiga kura ambao wanahitaji kusikia sera zao ili wawape kura kuwa ni "wapumbavu"..

CCM mmepanic mapema sana na hata hivyo tulitegemea mpanic hivyo...

Naona kabisa ccm mmeamua kufanya siasa zile ambazo dola nyingi sana zilipokaribia kuanguka zilianza kuonyesha dalili hizi..

Sasa ni wazi hata Juma Duni Haji mwaka 2000 ulimfunga bila kosa na kumpa kesi ya mauaji..

Ile dhambi ya kuwafanya wananchi wa Zanzibar kuwa wakimbizi nje ya nchi yao baada ya kuwadhulumu CUF ushindi wao wa mwaka 2000 bado inakutafuna.

Kama CCM inategemea busara hizi za viongozi wanaotukana wapiga kura tena kwa matusi ya hadharani kabisaa basi ni wazi sasa ninyi ni wasindikazaji kwenye uchaguzi huu..

Mpiga kura anahitaji kushawishiwa kwa hoja na sera zibazoeleweka ili akupe kura yake..

Wanachama wa CCM wako takribani milioni 6 na wapiga kura tuko takribani milioni 23.. hivyo Mkapa kawatukana watu zaidi ya milioni 17 kuwa ni "wapumbavu na malofa"...

Hao milioni 17 siyo wanachama wa ccm ila ni wapiga kura ambao wanahitaji kuombwa kura kwa weledi ila siyo kuwaita 'wapumbavu'..

Anyway.. Watanzania wakiwapa ushindi mwaka huu basi ni vyema tukatafutiwa consultant ambaye atakuja kuangalia matatizo yanayokabili akili zetu..

CCM hii ya kuwaita watanzania wasioipenda na kuiunga mkono kuwa ni "wapumbavu na malofa"...? What if tukisema viongozi wa ccm wametumia ulofa wa wanachama wao katika kuifikisha nchi kwenye hii hali mbaya??

Tukutane Oktoba 25,2015..

By:
Mwananchi wa Kawaida.
 
Nimesikitishwa na jinsi CCM ilivyojiandaa kufanya kampeni. Ukisikiliza mtiririko wa Ufunguzi wa CCM jana. Utaona ni chama ambacho kimejaa UBONGO FLAVA yaani viongozi wanatumia MATUSI kuwakashifu viongozi wengine badala ya kutoa hoji na kueleza hoja wamefanya nini mpaka sasa..? Wametatua vipi vitu vifuatavyo..?
1) TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
Vijana wengi wanamaliza shule na kukosa ajira. Serikali ya CCM haina mfumo wa kuandaa ajira kabla wnnafunzi wa
Sekta mbalimbali hawajamaliza vyuo. Sasa badala ya kumtukana Lowassa wanatakiwa watueleze kwa nini hamna
ajira. Aibu wanafunzi wa chuo 1000karibu kufanya nterview ya nafasi za kaz 50. AIBUUU KWA CCM!!!
2)HUDUMA ZA MAJI VIJIJIN
Ni aibu kwa nchi mpaka leo kuna watu wanaishi bila maji wakati bajeti ya vitafunio vya chai kwa viongozi
ni mabilioni ya pesa. Wanatakiwa waeleze tatizo ni nini wameshindwa wakati tuna vyanzo vya maji.
3)Rushwa ndani ya CCM imefanya siasa kuwa ndio njia ya utajiri wa haraka. Hii ndio maana mtu anaweza mtukana kiongozi mwingine wa matusi, kumpiga au hata kutaka kumtoa roho mwingne ili kuufikia mfereji wa fedha rushwa ndani ya CCM.

TAHADHARI:
Wananchi msiinge au kufata ushawishi wa bongo flava hao kina Diamond. Wenzenu wamepewa pesa ndefu. Utashangaa wewe umesimama hapo kwenye kampeni kusikiliza matusi na porojo za tutafanya hivi au vile. Hao bongo flava wamepewa 50Milioni. Fungueni macho..!!!!!
 
Hivi mzee ana Watoto wangapi?
Eti wanasema hawa ndio watoto wake, sijui ndio wale wa maana halisi ya mleta mada

Rais-mstaafu-Benjamin-W.-Mkapa-akiongiza-majadiliano-ya-umuhimu-wa-kusoma-vitabu..jpg
 
kauli iliyotukanwa na Ben ile inayotolewa Mara kwa mara na mbowe kuhusu ukombozi wa nchi hii kasema mkaulize kote Afrika Uhuru was nchi yetu ulipatikana lini wanajua ,Ben anawalinganisha wanaosema na wanaosikia wakaamini kuwa nchi bado haijakombolewa kuwa ni wapumbavu ,msikalie kujadili kauli za mkapa waambieni Watz mtawafanyia nn.
 
Itabid tutumie msemo mmoja wa wamarekani "no matter whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone"

Sisi tunasema "no matter whether he will bring development or not we will choose lowasa from ukawa to show the world that Tanzania is not for ccm only"&#55357;&#56834;&#55357;&#56834;&#55357;&#56834;&#55357;&#56834;&#55357;&#56834;&#55357;&#56834;

Da Pauuuu u u big up dada
Mkapa kasema kuwa ukombozi wa nchi hii uliletwa na ASP na TANU.. na nchi hii haihitaji kukombolewa tena.

Yes... ni kweli kabisaa.

Anakuja tena anajisahau na kusema kuwa CCM inahitaji kuwakomboa watanzania kwenye Ujinga,Maradhi na umaskini..

Huyu mzee amezeeka hovyo na ndiyo maana anatukana wapiga kura ambao wanahitaji kusikia sera zao ili wawape kura kuwa ni "wapumbavu"..

CCM mmepanic mapema sana na hata hivyo tulitegemea mpanic hivyo...

Naona kabisa ccm mmeamua kufanya siasa zile ambazo dola nyingi sana zilipokaribia kuanguka zilianza kuonyesha dalili hizi..

Sasa ni wazi hata Juma Duni Haji mwaka 2000 ulimfunga bila kosa na kumpa kesi ya mauaji..

Ile dhambi ya kuwafanya wananchi wa Zanzibar kuwa wakimbizi nje ya nchi yao baada ya kuwadhulumu CUF ushindi wao wa mwaka 2000 bado inakutafuna.

Kama CCM inategemea busara hizi za viongozi wanaotukana wapiga kura tena kwa matusi ya hadharani kabisaa basi ni wazi sasa ninyi ni wasindikazaji kwenye uchaguzi huu..

Mpiga kura anahitaji kushawishiwa kwa hoja na sera zibazoeleweka ili akupe kura yake..

Wanachama wa CCM wako takribani milioni 6 na wapiga kura tuko takribani milioni 23.. hivyo Mkapa kawatukana watu zaidi ya milioni 17 kuwa ni "wapumbavu na malofa"...

Hao milioni 17 siyo wanachama wa ccm ila ni wapiga kura ambao wanahitaji kuombwa kura kwa weledi ila siyo kuwaita 'wapumbavu'..

Anyway.. Watanzania wakiwapa ushindi mwaka huu basi ni vyema tukatafutiwa consultant ambaye atakuja kuangalia matatizo yanayokabili akili zetu..

CCM hii ya kuwaita watanzania wasioipenda na kuiunga mkono kuwa ni "wapumbavu na malofa"...? What if tukisema viongozi wa ccm wametumia ulofa wa wanachama wao katika kuifikisha nchi kwenye hii hali mbaya??

Tukutane Oktoba 25,2015..

By:
Mwananchi wa Kawaida.

Jana wametutusi sana
 
Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu Kwa kusema hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI STUPIDITY, LACK OF KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.

Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo
1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.
2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.
3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM.
4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja.
5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani.
6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.
7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea ajenda ya siri iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na 2012 kusimamia na Mpumbavu Joshua Nassari.
8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi ya uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani Prof. Lipumba na Dr. Slaa.
9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.
10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali kuburuzwa kama "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka lini? Slaa, Mbowe, Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na 2015.
Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa kushindwa kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa walanguzi kumpeleka Lowasa ikulu.
 
Back
Top Bottom