Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Mkapa yuko wapi?Sijamuona katika msiba wa Mzee kawawa, kulikoni?.
Tena amekaa nyuma ya Kikwete kwa upande wake wa kushotoMkapa yupo kwenye mazishi.
Tena amekaa nyuma ya Kikwete kwa upande wake wa kushoto
Mzee Mkapa yuko wapi?Sijamuona katika msiba wa Mzee kawawa, kulikoni?.
Umejibu kwa vitendo mkuu, nadhani mada imefungwa.![]()
Picture by Michuzi blog.
Duh! wengi wanasema ati mwacheni apumzike! Hivi Fisadi Nambari Wani apumzikeje? Alitakiwa awe jela huyu. Wabongo bwana, wezi wanapumzishwa!