Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?

hamna lolote ingekua wajerumani wana huo uchawi wa kuona mbele basi wasingepigwa kwenye vita ya kwanza ya dunia...
7bu ya watu kama nyinyi ndo mana mnaachagwa mfe mbaki kuwa masikini wa kipesa mpk akili
Hilo halina ubishi DUNIA ina pande mbili inayoonekana na isiyoenekana
Ya DUNIA isiyoenekana kuyafuata ni halamu na SERIKALI nyingi DUNIANI imepiga marufuku kwa maneno ila kwa vitendo bado moto upo
Ila kimodern zaidi
 
Ni ngumu kusema kama alikua chizi.

Mimi nimesoma PGM ila yule mzee aliwahi kunipa pindi nikiwa dukani ambalo hata mwalimu wangu wa Geography kipindi kile asingeweza.

Japo muonekano wake ulikua ni kama wa kichizi hivi, ila akili yake ndo inanipa hofu hadi leo
Cc. Mzee wa loyal,
Huyu jamaa alilogwaga kwao shinyanga alisoma shule za vipaji 0_level na A_level

Alifaulu vizuri kabisa ila anaishi maisha ya kupiga mapindi kwenye matwishen center mbali mbali alikua na uwezo mkubwa wa physics , chemistry, mathematics tena both level anafundisha bila kitabu Wala habibu ya rejea....

Ila ukimwona yupo very rough hajipendi ila kichwani smart sana duuu hii Dunia Ina mambo...
 
Story za kufikilika tu, uchawi ni Artificial intelligence, Internet of things IOT, Information technology, integrated circuits, Microelectronics, PLCs, cyber space, nk,
Mzungu Hana Mambo ya manyaunyau au kupaa na ungo!
Bombardier, dream liner, space X, RAM, google, Apple, ebu elezea machawi kama ya kisfrika yapo wapi hapo!
 
Uchawi upo Hilo ni suala lisilo pingika nenda hata vitabu vya dini vimedokeza hayo.

Kuna watu wameishi San na wajerumani even waingereza means Babu zetu especially before ya uhuru.

Wajerumani wanauchawi wao ambao ulikuwa unaaminika kama self sacrifice huu uchawi waliudhihirisha pale baada ya kushindwa vita vya pili vya Dunia. Na ikalazika kuacha makoloni yote Africa tena bila kutoka na kitu chochote means madini, na maligafi zote walizokuwa wamechuma Africa ilitakiwa waziache kwenye hayo makoloni waliyokuwa wanayatawala.

Sasa Hawa jamaa walichokifanya
ni kutumia madini kutengenezea vitu kama pasi n.k ili watoke navyo, still mwingereza alishtukia Hilo deal.

Sasa hapo ndipo walipo aza kutumia huo uchawi wao wa self sacrifice zile pasi na vitu vinginevyo viliaza kutupwa au kufichwa ktk mito isiyo na speed ya maji, mapango kwenye mawe makubwa na misitu minene n.k,

Sasa ili kulinda Mali hizo ililazimika kama wapo sita mmoja wao anatolewa sadaka means unatolewa kafara ili kulinda hiyo Mali iliyofichwa coz zilikuwa na value kubwa mno ndiyo maana sehem nyingi zilipo fichwa Mali za mjerumani Kuna kila aina ya vitimbi mfano majoka makubwa minzinga ya nyuki wasio linika. Na hizo sehem ziliwekewa alama maalamu coz walijua ipo siku wataludi kuzichukua.

Hizo Mali unaweza kuziona Kwa macho ila kuchukua mtiti, unaweza kupoteza maisha au hata kuwa kichaa

Kuna sehem nying San Kwa hapa Tz walificha hizo Mali zao na watu mbalimbali walitaka kuzichukua walishindwa coz maeneo hayo Huwa hapakosi kuwa na majoka au joka kubwa au hata mzinga wa nyuki walio wakali balaa

Haya maeneo yapo njombe Kuna msitu waliweka Mali zao, Moro kuna mapango waliweka Mali zao hata mbeya Kuna mto walitupa pasi zao.
 
Kitu ambacho hakipo hukikuti kwenye kamusi...kwenye lugha.
Neno uchawi lipo,?
Kwenye kamusi ya kingereza lipo?
Kwenye Biblia lipo?
Kwenye Quran lipo?
Kama halipo nao haupo😁
 
Aiseee..

Nasikia hata kwenye machimbo ya sasa ya GGM kule Geita napo walizindika, miaka ya baadae kdg kabla ya ggm ya sasa kuanza kuna watu walijidai kichwa ngumu wakaenda kuforce kuchimba ila yakatokea mafuriko makali balaa, ni kama walipasua mwamba wa maji.

Nasikia hadi leo hio sehemu ipo underground imewekewa na geti, sijui kama ni kweli au la
 
Kitu ambacho hakipo hukikuti kwenye kamusi...kwenye lugha.
Neno uchawi lipo,?
Kwenye kamusi ya kingereza lipo?
Kwenye Biblia lipo?
Kwenye Quran lipo?
Kama halipo nao haupo😁
Kapigie kelele pengine basi mkuu, tuache tunaotaka kujua kuhusu hii usiforce matusi bure, we pita kushoto kama huoni thread vile, sababu nakuona unaongea pumba tu zisizohusika hapa
 
Back
Top Bottom