Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Basi uyu kolo wa utopolo anajionaga ye mwamba sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli tuna safari ndefu sana kwenye maendeleo ya mpira. Najiuliza tu ikitokea Yanga kashinda mechi ijayo wapumbavu wengi wataamini huyu mzee Mpili na wenzake ndio wamesababisha Yanga ishinde na si benchi la ufundi. Na ikitokea Yanga kafungwa itaonekana ni kocha wa Yanga na benchi lake la ufundi ndio wamesababisha wafungwe. Na hao wazee wana mikwara mingi na wanajua kucheza na akili za matajiri wa hivi vilabu vikubwa ili wapate mkate wao wa kila siku. Kelele nyingi sana lakini wakipewa pesa hautakaa uwasikie zaidi ya kuimba mapambio ya kuwasifu wafadhili.
Mpira ni sayansi na si uchawi au mazingaombwe vinginevyo Congo na Nigeria zenye wachawi wengi zingekuwa zinabadilishana kubeba kombe la dunia na hata la afrika.