Mzee Mpili Amekubali, Simba na Yanga kupigwa July 03

Kwa yanga mpira ni kamati ya ufundi benchi la ufundi lipo Simba.

Hawa jamaa wanamtegemea huyo mzee wao kwa uchawi wake ndio maana wanasema sana mitandaoni
 
Niliahidi kurudi baada ya Dk 90 za mchezo kuisha,Haya Mikia Mnasemaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KIMOJA CHA NGURUWE[emoji1646] Simba Hoi[emoji1787][emoji1787]
 
Yanga watayasikiaga maendeleo ya mpira wa miguu kwenye bomba tu!! Wao wakishamfunga simba tu tayari wanajiona wako kwenye kilele cha mafanikio!! Muda huu wako kwenye kusherehekea goli la simba kujifunga hadi mwisho wa mwaka, halafu wanashangaa kutolewa mapema michuano ya kimataifa wakati simba inapeta!!!
 
Kwa hyo huyo ndo mnamuona mkombozi wenu? Yani Uto ni Uto tu. Hamna maana *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…