Nimeamini hili litimu lilianzishwa na watu wasiokuwa na elimu,pia Yanga iache kuwapa supu iliyochanganywa na limbwata ili waipende Yanga kupita kiasi,hii ni aibu Mashabiki wa Yanga kutangaza kuua watu kwa njia ya ushirikina.Na imekuwa ikijinadi kwa kuisema Simba wakati timu yao imezungukwa na Walozi wengi sana kama akina Mpili.