Mzee Mpili kuwa Msemaji wa Yanga?

Mzee Mpili kuwa Msemaji wa Yanga?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Je, ni kweli kwamba huyu mzee sasa anaenda rasmi kuwa msemaji wa yanga?

Habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa huyu mzee ana nafasi kubwa ya kupewa kazi hii na ameanza kufuta rasmi misimamo yake ya kutopeleka timu uwanjani siku ya tarehe 3 julai.

Wapenzi wa yanga tupeni maoni yenu
 
utopolo hawamuelewi kabisa..wamuache mzee aendelee kula mafao

umri ule niwakutulia kula matunda, tatizo mzee aliingia chaka kuchagua timu inayomuongezea presha na magonjwa uzeeni
 
Hahahah!! mzee mpili namkubari kinoma, hasa ule mpango wake wa kuwapiga MA-NUCLEAR TFF
 
Je, ni kweli kwamba huyu mzee sasa anaenda rasmi kuwa msemaji wa yanga?

Habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa huyu mzee ana nafasi kubwa ya kupewa kazi hii na ameanza kufuta rasmi misimamo yake ya kutopeleka timu uwanjani siku ya tarehe 3 julai.

Wapenzi wa yanga tupeni maoni yenu
Mimi naunga mkono,awe msema chochote kule kidimbini.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msemaji. Umewakosea heshima utopolo
 
Mzee ndie de facto leader wa Yanga..

Hakuna cha GSm wala JK wala Manji..

Final say ni Mzee Mpili..
 
Hatucheziii.... Hatucheziiii.... Hatuchezii!!
 
Back
Top Bottom