Mzee Mpili tumekukosea nini sisi mashabiki wa Simba Sport Club?

Mzee Mpili tumekukosea nini sisi mashabiki wa Simba Sport Club?

Huyu Mzee Mpili confidence anaitoa wapi na hayo mambo yake ya confidential na watu ni nani hao nchi hii
 
Mzee wampige spidi gavana huyo anawaharibia Yanga. Inamaana hyo juzi lile tuliona kama goli kumbe inaweza ikawa ni kunguru amepenya golini. Duuuh
 
Maimani ya kishirikina tu

Mzee ana mdomo mchafu mno
Nilikuwa sijaona clip akiwa na baiskeli yake ya manjano jana niliiona kweli mzee ana mdomo mchafu sana
Mzee wa miaka ile kutukana watu matusi hadharani ni kukosa adabu na staha
 
Mzee anawatu wake na Kigoma simba hatutok mzee anatutisha kweli
 
Ficha utopolo wako,hatuwezi kunyenyekea ujinga sisi. Unatumia jina la brand kubwa vibaya bro.
 
Back
Top Bottom