Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Mzee Msegu wa Morogoro amefariki dunia leo. Alikuwa baba yao kina Elia Msegu na Andrew Msegu. Pia kipindi cha uhai wake alikuwa mchungaji. Sababu ya kifo aijatajwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni wafiwa ...KGG amesemaje?Mzee Msegu wa Morogoro amefariki dunia leo. Alikuwa baba yao kina Elia Msegu na Andrew Msegu. Pia kipindi cha uhai wake alikuwa mchungaji. Sababu ya kifo aijatajwa
Ngoja tusubiri raisi wa TWIRA atatuelezea ndio nani huyo mzee.Jane bhana...
toa kiherehereSababu ya kifo itakusaidia nini Wakati ameishakufa? Corona ipo Chukua tahadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiri ya kuambiwa changanya na zako Mkuu kisha pata majibu halafu Chukua hatuaKigogo2......4 anajua sababu
[emoji110][emoji97]
Namsubiri pia, siku akipasuliwa kuni tutapata tabu sanaNgoja tusubiri raisi wa TWIRA atatuelezea ndio nani huyo mzee.
Humjui mzee Msegu alikuwa anakaa Modeko Morogoro? Alikuwa akikukuta njiani lazima akusalimieAnakipi cha kutufanya mpaka sisi wa Nuarugusu tumfahamu? Amewahi kushika nyadhifa gani katika nchi hii. Au hao watoto wake wana umaarufu gani ili na watu wa Loliomdo wamfahamu
Mkuu kigogo ndio mzalendo aliebaki katika nchi hiii kuwasemea wanyonge, muombeee mazuri Mkuu, kwa sasa si unajua kuwa Yule namba moja ameajiri watu Kwa Kazi maaalumu ya kupoteza wanaomkosoa? Acha kigogo amnyoooshe namba moja
Hahaha Never anapiga Spana hadi 2050 mpaka Awamu ya 7 itapita bado anatemesha NDOANO.