TANZIA Mzee Msegu amefariki dunia

TANZIA Mzee Msegu amefariki dunia

Humjui mzee Msegu alikuwa anakaa Modeko Morogoro? Alikuwa akikukuta njiani lazima akusalimie
teh teh teh teh teh nimecheka saaana hadi machozi tena tupo ofisi ya watu kila mtu ananishangaa hapa,sasa jane huko modeko umepataja kama kila mtu anapafahamu duuu!!
 
Humjui mzee Msegu alikuwa anakaa Modeko Morogoro? Alikuwa akikukuta njiani lazima akusalimie
Dah... kumbe ndiyo huyo..Rip...namfahamu sana mzee huyu...nimekula salamu zake nyingi sana....nipitishie pole zangu kwa Cheka, 20% na Afande Sele [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Mzee Msegu wa Morogoro amefariki dunia leo. Alikuwa baba yao kina Elia Msegu na Andrew Msegu. Pia kipindi cha uhai wake alikuwa mchungaji. Sababu ya kifo aijatajwa
Itakuwa changamoyo za upumuaji.
Poleni sna ndugu jamaa na marafiki
 
Mzee Msegu wa Morogoro amefariki dunia leo. Alikuwa baba yao kina Elia Msegu na Andrew Msegu. Pia kipindi cha uhai wake alikuwa mchungaji. Sababu ya kifo aijatajwa
Sasa ni kuwa dunia nzima inamjua ama?
 
Apumzike kwa Amani Mzee Msegu,Kumuombea mtu kheri aimaananishi mpake umjuwe.Ni Mzee wetu na Apumzike kwa Amani.
 
Back
Top Bottom