Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Sasa unadhani tuliomo humu wote tunakaa huko madeko? Una akiri kweli wewe?Humjui mzee Msegu alikuwa anakaa Modeko Morogoro? Alikuwa akikukuta njiani lazima akusalimie
Ujue imebidi nicheke japo ni msiba. Hivi kweli hicho kinamfanya kuwa maarufu kweli .Humjui mzee Msegu alikuwa anakaa Modeko Morogoro? Alikuwa akikukuta njiani lazima akusalimie
AKIRI kwa kweli sina.Sasa unadhani tuliomo humu wote tunakaa huko madeko? Una akiri kweli wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani watanzania milioni hamsini wote tumewahi kuishi modeko?Humjui mzee Msegu alikuwa anakaa Modeko Morogoro? Alikuwa akikukuta njiani lazima akusalimie
Duh!Sasa unadhani tuliomo humu wote tunakaa huko madeko? Una akiri kweli wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jane huyo ni wa leoleo so asikuharibie afya!AKIRI kwa kweli sina.
Mbona unaonekana mkubwa ila kutumia busara hutaki?Sasa unadhani tuliomo humu wote tunakaa huko madeko? Una akiri kweli wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
teh teh teh teh teh nimecheka saaana hadi machozi tena tupo ofisi ya watu kila mtu ananishangaa hapa,sasa jane huko modeko umepataja kama kila mtu anapafahamu duuu!!Humjui mzee Msegu alikuwa anakaa Modeko Morogoro? Alikuwa akikukuta njiani lazima akusalimie
Dah... kumbe ndiyo huyo..Rip...namfahamu sana mzee huyu...nimekula salamu zake nyingi sana....nipitishie pole zangu kwa Cheka, 20% na Afande Sele [emoji2960]Humjui mzee Msegu alikuwa anakaa Modeko Morogoro? Alikuwa akikukuta njiani lazima akusalimie
Itakuwa changamoyo za upumuaji.Mzee Msegu wa Morogoro amefariki dunia leo. Alikuwa baba yao kina Elia Msegu na Andrew Msegu. Pia kipindi cha uhai wake alikuwa mchungaji. Sababu ya kifo aijatajwa
Poleni sana Jane LowassaMzee Msegu wa Morogoro amefariki dunia leo. Alikuwa baba yao kina Elia Msegu na Andrew Msegu. Pia kipindi cha uhai wake alikuwa mchungaji. Sababu ya kifo aijatajwa
Sasa ni kuwa dunia nzima inamjua ama?Mzee Msegu wa Morogoro amefariki dunia leo. Alikuwa baba yao kina Elia Msegu na Andrew Msegu. Pia kipindi cha uhai wake alikuwa mchungaji. Sababu ya kifo aijatajwa
We humjui Msegu? Watu wengi wanamjua mbona?Sasa ni kuwa dunia nzima inamjua ama?
We humjui Msegu? Watu wengi wanamjua mbona?
Daaaaah,hivi watu wote (~60 milioni) wamewahi kwenda Modeko Morogoro na huyo mzee aliwakuta njiani ilikuwa lazima awasalimie?Kiongozi hujaeleweka kabisa.Umekwama wapi?Humjui mzee Msegu alikuwa anakaa Modeko Morogoro? Alikuwa akikukuta njiani lazima akusalimie
[emoji1][emoji1][emoji1] modeko kanisani? Kitimoto? Ipoipo?Humjui mzee Msegu alikuwa anakaa Modeko Morogoro? Alikuwa akikukuta njiani lazima akusalimie