Mzee wa Rula usijitoe bhana subiri unyooshe mambo yasiende mrama.Mimi simo waliotajwa wote hao wakija hapa jukwaa litachimbika.
Watu mna visa nyie..mzee Mtambuzi alishanikabidhi Cantalisia siku nyingi kwa roho nyeupeee..Toka huyu mzee achukue likizo ya uzazi amempiga marufu Cantalisia kutembea, hata nje tu hatoki anachungulia nje kwa dirishani. Mtambuzi utavunja uchumba wa Rejao hutaki wajukuu zaidi yangu? mruhusu basi leo atoke ni ijumaa.
Bishanga, bishanga, bishanga..Kweli kabisa Tai,halafu nasikia kampiga biti hataki kabisa mahusiano yake na rejao,nasikia anadai eti anataka mwanae aolewe na Taiga Wudu.
Mzee wa Rula usijitoe bhana subiri unyooshe mambo yasiende mrama.
Bishanga, bishanga, bishanga..
Unaujua mziki wa rejao? We endelea tu..
..mkuu mbn kama umepanic. Mtambuzimtu chake , Cantalisia unamtakia nini?
mtu chake , Cantalisia unamtakia nini?
..mkuu sijui kwa kweli...mtu chake unajua sababu, au unajitia hamnazo?