Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Status
Not open for further replies.
Pole sana kaka Mtambuzi,

Ni Mungu pekee anayeweza kukuteteana kukupigania, nasi tunamuangalia yeye na kumuomba ili upone haraka. Cantalisia, tunashukuru kwa taarifa na tunaamini utaendelea kutupa feedback
 
Tuko pamoja nitakuwa na wa update kila kinachoendelea kuhusu mzee mtambuzi!
 
pole sana mzee wetu,mungu ni wa kila mtu na ni mwema!! inshaalaah utapona! Mamito canta,thenx alot for such info.be blaced!!
 
pole sana mzee wetu,mungu ni wa kila mtu na ni mwema!! inshaalaah utapona! Mamito canta,thenx alot for such info.be blaced!!
Amen mpnz,tuko pamoja na nitakuwa nawa update kila kinachoendelea,mzima lkn ww?
 
Hakika muda inayoyoma kama kawa Cantalisia!!!!!!!!!! Hebu tujuze 2,3 kuhusu hali ya mpendwa wetu mzee wetu anavyoenenda mpaka majira haya.............!!!!!!!!!!!!!
 
Aisee. Tumshukuru Mungu kwa kumnusuru uhai wake, ila tumuombee amrudishie afya yake mapema. Amina
 
Aisee, mpe na pole mkewe. Mwambie tuko naye bega kwa bega katika maombi.
Usijali babu zimefika,naye ameahidi kunijuza kila kinachoendelea ili nikiweke jamvin wadau wajue!
 
Oh! Pole sana Mtambuzi, naamini utapatatnafuu mapema
 
Hakika muda inayoyoma kama kawa Cantalisia!!!!!!!!!! Hebu tujuze 2,3 kuhusu hali ya mpendwa wetu mzee wetu anavyoenenda mpaka majira haya.............!!!!!!!!!!!!!
Kwa habari za mda huu Mzee matambuzi amesharudishwa Regency amepumzishwa wodini kwa ajili ya kufanyiwa operation ya mkono uliovunjika saa kumi na moja jion,kamepatiwa dawa ya maumivu kule agakhan,na huyo daktari wa mifupa ndio atacheki na mbavu upande wa kushoto nao umeathirika na ajali hiyo!
 
Mzee ajaaliwe kupona haraka na kurejea katika afya yake kama kawaida
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…