Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za asubuhi wadau,napenda kuwajulisha kuwa Baba yetu Mzee Mtambuzi amepata ajali asubuhi ya saa kumi na mbili leo ya kugongwa na gari daladala T.837 AUK na wakati akivuka barabara maeneo ya Tabata mawenzi ambato daladala hilo lilingia kushoto gafla likiovertake daladala lingine kuwahi abiria ndipo lilimkuta baba na kumgonga.Katika ajali hiyo baba amevunjika mkono wa kulia na yuko Amana hospitali kwa matibabu,mpaka naandika hii taarifa alikuwa bado anasubiri kufanyiwa kipimo cha x-Ray nakujua amevunji
https://www.jamiiforums.com/login.php?do=login
Poleni sana mungu hatamjalia atapona..
Asante the boss salam zimefika.mpe pole saana aisee..
apone haraka....
get well soon....
Sawa mkuu tuko pamoja!catalisia endelea kutujuza nasi tunazidi kumuombea kila la heri aweze kupona mapema
Salam zimefika mkuu,tuko pamoja.Pole sana mzee mtambuzi nakutakia kupona haraka. Asante sana mdada kwa taarifa, mwambie hayuko peke yake na sisi tuko pamoja nae.
Hawa madereva wa daladala wengi wao sio kabisa.
Asante BlackBerry.Pole sana catalisia na mzee mtambuzi
Poleni sana!
Namwombea apone mapema na kurejea katika shughuli zake za kila siku za ujenzi wa taifa na familia yake.
Sikujua: Kumbe mtambuzi ni "mzee na ni baba yake Cantalasia?"
Mgonjwa anaendelea vizuri na atafanyiwa oparation leo.mgonjwa wetu anaendeleaje ?