Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Status
Not open for further replies.
Habari za asubuhi wapenda,napenda kuwajulisha Mzee anaendelea vizuri na anawashukuru kwa salam zenu na maombi yenu,Asubuhi hii Daktari wake ameshaconfirm kuwa operation itafanyika leo saa kumi jion,na mzee bado yupo amepumzishwa pale regency hospital chumba cha casuality kilichopo karibu na chumba cha x-ray.
 
Reactions: SMU

Asante kwa taarifa. Unaweza pia kuweka updates hizi kwa ku edit ile post yako ya mwanzo...itatusadia kwa sie wafatiliaji (badala ya kupekuwa kila post kutafuta updates).
 

Mwambie awe na Imani kwani Mi kwa nafsi yangu nimemweka katika hali ya Imani na atafanyiwa hiyo opereshen na ataenenda vema kbs. Mpe salaam zangu nyingi na MUNGU tunayemwamini atafanya miujiza ktk hali yake ya kuweza kupona mapema tofauti na itarajiwavyo. Amen!!
 
Mtambuzi..."You are in my thoughts and my prayers. I am praying for a quick recovery
 
Amen,salamu zako zimefika mkuu!
 
Asante kwa taarifa Cantalisia
Mungu atamponya, yuko katika sala zetu
 
Kwa hakika ALLAH (S.W) atampa nafuu na uponyaji, kwani yeye ndiye kimbilio letu. Tunawashukuru wale woooote Madaktari, Mkewe Mpendwa, Dada yetu kwa kutujuza habari zake, na wadau wooote kwa ujumla katika maombi na sara zao. Pole sana mgonjwa wetu tu pamoja nawe.
 
Pole sana Mtambuzi na familia. Nakuombea Mungu akuponye, na uwe na afya njema.
 
Pole sana mtambuzi, nitamiss thread zako mpaka mkonoo upone, Mungu akujalie upone haraka
 





tunasshukuru kwa taarifa cantaalisia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…