Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Status
Not open for further replies.
Dah!! Pole Sana Mtambuzi, Cantalisia asante sana kwa taarifa naomba uendelee kutujuza maendeleo yake hapo Regency Hospital
Nitakuwa nikiwaarifu kila kinachoendelea,japo hapo amana wamlimpa tu huduma ya kwanza na mpaka saa mbili kasoro wahusika wa x-ray walikuwa bado hawajafika ndio wakamshauriana pamoja na yule dereva na kuamua wampeleke regency na mpaka mda huu bado wamekwama kwenye folen maeneo ya ilala wakielekea regency.
 
Yes dereva amekubali kosa na baada ya ajali walishirikiana kumchukua mzee Mtambuzi na kumpeleka hospital na bado wako nae na wamekubali kushirikiana mpaka atakapopona.

Pole sana, tunamwombea Mungu apone haraka, arejee katika hali yake ya kwaida.
 
mfikishie safari zangu na mpe pole sana
 
Kwa nini unadhani atapona bila kujaaliwa na Mungu?
Mi nampa pole sana mzee wetu, Mungu amjalie apone haraka. Kusema ukweli mi huyu chatu dume huwa ananipa taabu sana kusoma posts zake kwani hajui H inapaswa kuwekwa wapi.
 
Too sad, huu uzembe wa madereva utatumaliza sasa! Poleni sana jamani...
 
Ah pole sana mzee mtambuzi. Nakuombea kwa Mungu akuponye haraka na urejee uzima wako na kuendelea na shughuli za kulijenga taifa na familia yako.
 
Habari za asubuhi wadau,napenda kuwajulisha kuwa Baba yetu Mzee Mtambuzi amepata ajali asubuhi ya saa kumi na mbili leo ya kugongwa na gari daladala T.837 AUK na wakati akivuka barabara maeneo ya Tabata mawenzi ambato daladala hilo lilingia kushoto gafla likiovertake daladala lingine kuwahi abiria ndipo lilimkuta baba na kumgonga.Katika ajali hiyo baba amevunjika mkono wa kulia na yuko Amana hospitali kwa matibabu,mpaka naandika hii taarifa alikuwa bado anasubiri kufanyiwa kipimo cha x-Ray nakujua amevunji
https://www.jamiiforums.com/login.php?do=login

Pole sana Mzee Mtambuzi
 
Too sad, huu uzembe wa madereva utatumaliza sasa! Poleni sana jamani...
Amin,yani wale huwa muda wote wanawaza kuwahi abiria tu bila kujali watembea kwa miguu!
 
Namtakia Mtambuzi kupona haraka na afya njema. Hawa jamaa wa dala dala kama vile wanazimiliki bara bara zetu manake wao hawajali watumiaji wengine kabisa!

Pole kwa maumivu ya ajali, apone haraka!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom