Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Status
Not open for further replies.
Pole sana babu Mungu akusaidie upone haraka, ahsante kwa taarifa
 
Dah mpe pole sana jamani namuombea kwa Mungu amjalie apone
vilevile ahsante kwa kutupa taarifa bi dada.
tuko pamoja katika maombi
 
...get well soon mtambuzi, dahhh...
cantalisia asante sana kwa taarifa.

na wewe mbu uletaye maleria usije kwenda huko hsptl ukamwambukiza mzee wa watu maleria wakati tayari amevunjika mkono. Pole sana mzee wetu,tutakumiss sana jamvini,get well soon baba.
 
yes dereva amekubali kosa na baada ya ajali walishirikiana kumchukua mzee mtambuzi na kumpeleka hospital na bado wako nae na wamekubali kushirikiana mpaka atakapopona.

poleni jamaa mwambie mzee tupo pamoja
 
Pole Mtambuzi MUNGU atakuponyesha. Poleni familia kwa wakati huu mgumu.
 
asante kwa taarifa
mpe pole sana Mungu atamjalia afya njema tena

 
pole sana Mtambuzi,Mungu akuponyeshe jamani kinaniuma sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom