Mzee Mtei ataufurahia sana Uongozi wa Tundu Lisu kuliko Ule wa Mbowe, enzi zake Edwin alikuwa Mtu wa misimamo mbele ya Nyerere!

Mzee Mtei ataufurahia sana Uongozi wa Tundu Lisu kuliko Ule wa Mbowe, enzi zake Edwin alikuwa Mtu wa misimamo mbele ya Nyerere!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Freeman Mbowe ni Kiongozi mzuri ila kama walivyo Wafanyabiashara wengine wote anaangalia kwanza Faida katika jambo lolote Lile na CCM iliutumia vizuri sana huu udhaifu wake.

Tundu Lisu ni tofauti yeye ni mwanaharakati na Tanzania Kwa sababu ilishajipatia Uhuru wake Kutoka Kwa Mkoloni inachohitaji Sasa ni Harakati siyo Siasa.

Namkumbuka Edwin Mtei yule wa BoT alikuwa ni Kiongozi mwenye Msimamo Kweli Kweli hadi akatofautiana na Kambarage ila Mungu ashukuriwe alivyoingua Mzee Mwinyi akatumia Sera zile zile za Mtei na tukatoboa kama Nchi.

Edwin Mtei atampenda Tundu Lisu

Mlale Unono 😄😄
 
Back
Top Bottom